Barclays is closing down 7 branches and Standard Chartered two branches are closed in Kenya.

Movie yenu ya vichwa vya treni vibovu imefikia wapi, naskia TRL wamevikana ilhali vina rangi zao.

Hiyo nchi yenu kama bongo movie vile, yaani vichwa vya treni hadi vinashushwa kutoka kwa meli na haijulikani mmliki nani. Ndio maana mnaliwa kwenye madini hadi mumebaki mahandaki matupu na umaskini mwingi. Mnaishi kwa kiki na vioja kila siku...mkae na kujiuliza aliyewaroga kama bado yupo.

cf969d6e1bb3064bac4cd3b52a42b0ec.jpg
wana kana mzigo wao sio?
hii ni hatari!!!
 
Hii ni vituko, yaani locomotive zima linafika na hawajui nani mmiliki?

Halafu sio moja, sio mbili, sio tatu...ni kumi na moja... freaking eleven ugly locomotives, zinashukia bandarini na zote zimepakwa rangi na majina ya shirika la reli (TRL) halafu eti hawajui za nani, hadi meli inageuka bila kujua nani kaziagiza. Bandarini TPA wanasema za TRL, nao hao TRL wamezikana, yaani Wabongo wanaishi maisha ya kiujanjanja na kutafuta kiki kwa kila kitu.

Na ndio maana unaona gesi zao zinatulipukia, wakiambiwa wazipitize Mombasa wananuna na kulialia. Mashirika yao yote ya kuhakikisha ubora kama vile TBS yamelala usingizi wa pono.
 
Hii balaa Kenya inakufa kifo cha mende. Adui mwombee njaa. Kwikwikwikwi. Kiburi mpaka kitawatoka, Njaa haina boss.
 
Halafu sio moja, sio mbili, sio tatu...ni kumi na moja... freaking eleven ugly locomotives, zinashukia bandarini na zote zimepakwa rangi na majina ya shirika la reli (TRL) halafu eti hawajui za nani, hadi meli inageuka bila kujua nani kaziagiza. Bandarini TPA wanasema za TRL, nao hao TRL wamezikana, yaani Wabongo wanaishi maisha ya kiujanjanja na kutafuta kiki kwa kila kitu.

Na ndio maana unaona gesi zao zinatulipukia, wakiambiwa wazipitize Mombasa wananuna na kulialia. Mashirika yao yote ya kuhakikisha ubora kama vile TBS yamelala usingizi wa pono.
Hahaha nimeona clip ya magu akilalamikia huo ushenzzz
 
You are kidding! I thot they were three....
 
Back
Top Bottom