Barclays TZ...The hopeless,nimewanyooshea mikono!

Barclays TZ...The hopeless,nimewanyooshea mikono!

Barclays ime atapeliwa sana na wazalendo...sasa wapo kwenye red alert...
Africans have a bad reputation when it comes to banking!
Hivi karibuni wengi wafanyakazi wame fukuzwa Barclays wakiwa na feki shahada..what do you expect than?
Bnak M mzuri lakini pia wameanza kualim amri na wazalendo...too much fraud!!!!!!!!!!!!🙄
 
Barclays imetapeliwa sana na wazalendo...sasa wapo kwenye red alert...
Africans have a bad reputation when it comes to banking!
Hivi karibuni wengi wafanyakazi wamefukuzwa Barclays wakiwa na feki shahada..what do you expect than?
Bank M mzuri lakini pia wameanza kusalim amri na wazalendo...too much fraud!!!!!!!!!!!!🙄
 
Zamazamani nawe ni fisadi?

Fisadi sio anaepokea pekee bali hata mtoajio rushwa nae nifisadi, Kitendo cha Zamazamani kutoa rushwa iliafunguliwe account kinanipa wasiwasi sana, akiwa yeye kama mmoja wa viongozi wa NGO, wasiwasi wangu ni:

1) Atawezaje kuongoza NGO kwa kutoa rushwa badala ya kukemea? maadili yako wapi?

2) NGO yako inhusika na mambop gani?

3) Rushwa uliyotoa utaiweka kwenye P&L/Balancesheet ya NGO au inatoka kwenye mshaharawako?

Naomba majibu.
 
karibu sana Diamondtrust Bank,tawi lolote lile unakaribishwa
 
nikatoa kitu kidogo ...huduma iende spidi ikawa hola

as a kenyan i have enough experience with corruption. NEVER EVER EVER EVER give a bribe to a bank becasue they already have more money than you and they know more about money than you do(that is why they are bankers). it is your money your are giving to them!!! you have to realise that. if they dont want it then https://jamii.app/JFUserGuide THEM. when you gave that bribe it signalled that you are weak and now barclays back thinks you are dumb. it is a free world put your hard earned in another bank. id rather put it under my matress that bribe a bank to open an account for me.

bribe a bank? F.U.C.K THAT!!!
 
Zamazaman nadhani wewe ni fisadi na hiyo NGO yako inahitaji kuwa investigated, otherwise tunaomba ujieleze hapa jf kwa nini ume bribe officials?
 
Wachilia mbali hiyo ku-bribe officials lakini barclays wana issues; mie nilenda kwanza wakanitaka nipeleke hati ya kiapo cha wakili na barua ya mtendaji; sasa kutokana na kutopatikana mara kwa mara ilichukua muda sana kuipata barua ya mtendaji; nilipoipata nikaenda nikaambiwa sasa taratibu zimebadilika inahitaji barua ya wakili!

Aaagh; cjapata muda wa kumuona wakili wangu na 20000 yangu ya initial deposit wanayo tangu 2008!
 
Jamani...

Sijui tatizo kama ni langu na watu walio karibu yangu..au ni vipi....kwa kweli huduma za benki za Barclays zinanitia kichefuchefu mno....

Nimejaribu kufungua akaunti personal sasa yapata mwezi wa tatu haijawezekana.... tena baada ya kuchoshwa na tawi la Ubungo plaza ..nikatoa kitu kidogo ...huduma iende spidi ikawa hola (mhusika jina ninalo)..nikajaribu tena tawi la pale Sea Cliff...usumbufu nilioupata nimenyoosha mikono...

Kama haitoshi ikatokea NGO ninayojishughulisha nayo imepewa msaada wa hela (cheque) na sababu hatukuwa na akaunti tuka jaribu kufungua akaunti pale Barclays downtown....tangu December 2009 mpaka leo...leta hiki, leta kile, haukuleta kile, sasa ulete kile, baada ya wiki uje mambo yatakuwa tayari... ukienda unakuta kimtu kingine kabisa kinakwambia ulisahau kuleta kile... basi..stori goes on and on!!!!...kutwa kuchwa.... sometimes simu wanapiga lakini hakuna kinachoendelea...

Baada ya kuchoshwa nikawa nalalamika mbele ya watu wachache,... kumbe nao yamewakuta kama haya.... nimeambiwa nisithubutu tena...ndivyo walivyo....kumbe hata hatua ya kufungua matawi mengi ni very hopeless move sasa nimekubali....sina uhakika kama uongozi unayajua haya... nimewanyooshea mikono...tunajiuliza hivi na nchi nyingine wapo hopeless hivi hivi? nimenawa...
kwa nini hukufungua branch nyingine umewang'ang'ania? halafu unaniharibia siku kwa kusema umetowa RUSHWA...🙁
 
Zamazamani umekimbia thread yako? mbona utujibu? kwa nini ume bribe official pale Barclys?

tunahitaji ku-investigate NGO yako usipokuja na majibu yanayotosheleza. Thank you
 
Zamazamani nawe ni fisadi?

Fisadi sio anaepokea pekee bali hata mtoajio rushwa nae nifisadi, Kitendo cha Zamazamani kutoa rushwa iliafunguliwe account kinanipa wasiwasi sana, akiwa yeye kama mmoja wa viongozi wa NGO, wasiwasi wangu ni:

1) Atawezaje kuongoza NGO kwa kutoa rushwa badala ya kukemea? maadili yako wapi?

2) NGO yako inhusika na mambop gani?

3) Rushwa uliyotoa utaiweka kwenye P&L/Balancesheet ya NGO au inatoka kwenye mshaharawako?

Naomba majibu.

sikatai. barclays wanakauzembe fulani...lakini napenda kwenda pale kwakuwa wateja si wengi ukilinganisha na akaunti zangu kubwa za NBC au NMB.....nataaka niwaambie kuwa kampuni zangu zimefungua akaunti..barclays ...ambapo maafisa wa masoko [freeliance] walikuja ofisini kwangu ...wakachukua documents zote na tuliitwa wakurugenzi kufanyiwa utambuzi as per articles and it was done...one week...niliambiwa kwa kampuni sole au individual inachukuwa muda mfupi....

natia walakini madai ya mtowa hoja...rushwa kwenye mabenki zipo kwenye kushawishi upendeleo kwenye utoaji mikopo.etc....sijapata kuona mtu anatoa rushwa ili afungue akaunti[inawezekana uliyempa rushwa ali wa alert mabosi wake kuwa there something wrong with you .....alihisi unataka kuwaibia ...kwa kitendo cha kumpa pesa ili afungue hiyo akaunti....]...hata kama ni mimi ningeshtuka sana kuona kuwa mteja ananipa pesa nimfungulie akaunti ..wakati watu wanafuatwa maofisini kwao kuombwa wafungue akaunti na wakishafungua wanapewa zawadi kama kofia ,fulana,mipira,tiketi za ndege na bahati nasibu....

kwa kuwa siku hizi mabenki wana bureau ya ku share information za wateja wasio kuwa waaminifu kama mtoa hoja inaweza ikamuwia vigumu akaunti yake kufunguliwa na mabenki mengine.....

mtoa hoja uaminifu wako unatia shaka...rudi ujibu maswali ya wadau!!
 
Waungwana nimerudi.....sikuwepo muda mrefu poleni....jamani...hebu sikilizeni,tumieni akili na MSIWE WANAFIKI:...NGO yetu ina deal na watoto yatima..tulipewa cheque kama msaada kwa ajili ya watoto ili tuweze kuwapa mahitaji yao ya lazima ya kila siku ikiwa pamoja gharama za shule ....benki ambayo ni convinient kwetu kimazingira ni Barclays ..na kwa kuwa hatukuwa na akaunti ya chama na kwa kuwa hatukutegemea kupata ugumu kama tulioupata ,nikawashauri wenzangu tufungue akaunti Barclays...just imagine ni cheque ya Septemba mwaka jana ....kwa hiyo tangu kipindi hicho mpaka nilipoandika hoja yangu kwa mara ya kwanza..ilishapita kama miezi mitatu...lakini katika kipindi hicho usumbufu ulikuwa mwingi sana ..ila kila mara tulikuwa tukihakikishiwa akaunti itakuwa tayari soon!!!muda ukaenda na ukaenda...bahati mbaya signatories wengine walikuwa na majukumu mengine huku wakiamini mambo ya akaunti yapo shwari..,haikuwa rahisi kuwapata tena wote ili tufungue sehemu nyingine...narudia tena...sababu pale tulihakikishiwa !!!!.Wakati huo huo watoto kule kituoni wanateseka na njaa na wengine wameshindwa kwenda shule sababu ya kukosa mahitaji muhimu...kama uniform,madaftari,nauli nk....hivyo tumekuwa tunakopa au kutoa mifukoni mwetu wakati hela ipo ila hatuwezi kuitumia....ni katika mchakato huo basi ikabidi tuwaulize wanataka kitu gani ili tuimalize fedheha hii.... labda 'soda'....nikamwambia yule mfuatiliaji labda akimpa soda mhusika mambo yatakwenda(KAMA ILIVYO MILA NA DESTURI YETU!,WACHENI UNAFIKI HAPA!!!!)..soda alipewa na danadana ikaendelea..(sasa ilifika kipindi tukaanza kumdai yule tuliyempa hela ya kutoa soda labda hakutoa ndio maaana tunapata kadhia hii!!!)...anyway...lakini mungu si athumani...pamoja na kwamba pale tulichemsha...documents zilezile tumetumia kufungua akaunti benki nyingine baada ya wiki tatu...(juzi tarehe 8 ) ingawa bado kunataratibu za kibenki zinamaliziwa...
BULL --- UMENICHEKESHA SANA KUBEBA BANGO KUHUSU BRIBE,KWANI UNAISHI WAPI WEWE???
JE UNGEKUWA WEWE KATIKA MAZINGIRA KAMA HAYA YETU UNGEFANYA NINI???
 
wadau wa Diamond Trust na Mkombozi Banks ....na mimi nahitaji kujua kama kuna jipya katika benki hizi.....mikopo ,kufungua akaunti nk ..just for future considerations.....
 
kioja kilichomchangaza mtu yoyote ni kutoa bribe ili akaunti ifunguliwe[itakuwa iliwafanya wakutilie shaka motives zako]....kwa sababu siku hizi mabenki yanabembeleza watu wafungue akaunti..iweje uwape pesa..!!..hata ukienda pale sokoni kariakoo kwa wale wanaofungulia akaunti wateja kwenye miavuli....ukiwapa pesa ..watapokea lakini ni lazima watakushangaa sana na watamuambia supervisor wao..utakuwa blacklisted[ushauri wa bure]...kwani watu wa benki siku hizi wanafungwa sana...na hiyo pesa uliyowapa walihisi itawatokea puani ...ikitokea mfano umeiba...kuanzia aliyefungua akaunti ,meneja hadi teller huwa wanaisaidia polisi ...lazima waogope!!pole..kama hukua na nia mbaya!!
 
Unarun NGO kwa misaada halafu unafungua account kwa kutoa rushwa. Credibility yako iko wapi? I'm building some doubt here bro..
 
Sawa kabisa........ni kioja kwelikweli!!!!!lakini je umeshawahi kujaribu kufungua akaunti kwenye benki kama hii?? nenda kajaribu then utaniambia kama ni kioja au la!!!..ila nia ilikuwa NI nzuri saaana...KUSAIDIA JAMII....pointi hapa ni kuwa kwa nini just kufungua akaunti kunakuwa na mlolongo usio na msingi kama siyo mazingira ya rushwa?????kwa nini mtu unaenda zaidi ya mara 20 kufuatilia ,na hakuna jibu la maana??unafikiri tunapenda kutoa chochote???
 
Unarun NGO kwa misaada halafu unafungua account kwa kutoa rushwa. Credibility yako iko wapi? I'm building some doubt here bro..
\
Veery credible......wakale walisema "Penye uzia penyeza rupia" ...unafikiri walikuwa wajinga??? Yaani watoto wafe na njaa ,washindwe kwenda shule kwa sababu ya vizingiti vya kijinga???? ...mazingira yenyewe yalionyesha hivyo..ingawa hatukufanikiwa!!!!...Just keep on building doubts there.....
 
Pole kaka,lakini hukutakiwa kuwapa kile kitu kidogo,they should treat you nice coz we ndiyo unaowafanya wa exist kwenye industry,you give them deposits ambazo wanatumia kukopesha they get interest and other charges and they also charge your account.Just go to other banks,zipo kaka zinazojali customers
 
\
Veery credible......wakale walisema "Penye uzia penyeza rupia" ...unafikiri walikuwa wajinga??? Yaani watoto wafe na njaa ,washindwe kwenda shule kwa sababu ya vizingiti vya kijinga???? ...mazingira yenyewe yalionyesha hivyo..ingawa hatukufanikiwa!!!!...Just keep on building doubts there.....

Loh kwa mtaji huo hiyo NGO ina walakini. Kwahiyo umeanzisha hiyo NGO ili watoto waende shule,wasife njaa? Ushapenyeza rupia sehem ngapi aisee? Sikutarajia kama hata watu wa NGOs wanaadvocate rushwa kwa bold ink kabisa! Inamaana wewe ktk anticorruption campaign yetu humo kabisa? By the way mtoa rushwa na mpokeaji wote wanamakosa. So some investigation officer should start from there!
 
Back
Top Bottom