Bariadi: Askari polisi aliyegonga gari la RPC Chatanda afariki dunia

Nawaza sio kwamba huyu poti alikuwa amepanga kuondoka na mkubwa wake labda Kuna terms hawakuwa sawa
 
Mbona imeelezwa hapo kwenye uzi. Umesoma vizuri au umekimbilia kuandika tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu huyo askari alikua kalewa sana maana pia walimpima kiwango cha ulevi kilikua juu, yeye ndo mwenye makosa alihama njia na kifata gari la RPC japo rpc alipata tuu michubuko kdgo akatibiwa na kuruhusiwa wala sio kwamba kasingiziwa.
Je maelewano ya huyo Askari na RPC huko kazini kwao yalikuaje kabla ya ajali!!? Isije kua walikua wana beef hata ya kuvhukuliana Wanawake!!??
 
Sasa Kama office hajui muajiriwa wake anatokea wapi na anaishi wapi,hicho kibarua Cha upolice kapewaje!!??
 
Ushirikina kwenye ofisi za umma ni tatizo kubwa. Sasa hapo drones zimegongana. Mwenye kimbola kikali kabaki.
Wazee wa chadema mpaka Leo Bado mna Imani za ajabu
 
Ndio safari yake kaimaliza, pole kwa familia yake
 
Inadaiwa ajali hadi kifo cha Timoth kuna utata,alikua na ugomvi na RPC.nipo kisesa ndugu wa Timoth wamekataa kupokea manīti
 
Shamba la bwana kheri mali ya bwana kheri
 
Hawa watu wanaendesha rafu Sana, afadhali haikuhusisha raia.
 
Mbona imeelezwa hapo kwenye uzi. Umesoma vizuri au umekimbilia kuandika tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuhama na kuingia upande wa pili sio chanzo cha ajali. Jaribu kuwa deeper.

Ni sawa na ndege inaanguka unaulizwa kwa nini ndege ilianguka unajibu ilishindwa kuendelea kuwa angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…