Bariadi: Mama aliyetarajia pacha akabidhiwa mtoto mmoja

Umesoma heading tu.
Hebu soma vyema
 
Jinsi zao zinaashiria kuwa hawa ni identical twins
Twins wakiwa na jinsia moja ndio kipimo cha kuwa identical? Identical means wafanane kila kitu kinachoweza kufananishwa, sio jinsia tu, identical twins wanafanana hadi DNA, pacha wako identical akimpa mimba mkeo hata uende ukapime DNA bado ataonekana ni wako, japo si wako
 
Serikali iwachukulie hatua viongozi wa hiyo hospitali. Kumdhulumu mtu damu yake kwa tamaa za utajiri ni kosa kubwa sana. Human trafficking
 
Mambo tuliyoyasahau miaka 6 iliyopita yameanza kurudi kwa kasi .

Watumishi wa serikali wameanza kufanya wanavyotaka.
Matukio kama hayo yaliendelea kuwepo hata ndani ya miaka 6 iliyopita,acha uongo.
 
Mtanikumbuka kwa mazuri
Kama kutekwa watu, watu kupotea isijulikane kama wamekufa au la, maiti kuokotwa baharini zikiwa kwenye viroba,kina Sabaya kugeuka majambazi huku wakijificha kwa vyeo vya u-DC nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…