imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wakati huo wewe na mashoga wenzio mnahamia huko mkauze VIZURI au mnaendelea kuwa ndani ya mipaka yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thithiem na mashoga dhao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo wewe na mashoga wenzio mnahamia huko mkauze VIZURI au mnaendelea kuwa ndani ya mipaka yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, wanatisha ili wengine wasije kuiga, huu upepo ukiambukiza nchi zingine Kuna nchi za ulaya zitakuwa masikini kuliko sisiUnajua ushindi wa Tanzania kwenye makinikia ni aibu na fedhea kwa ulimwengu wa magharibi.
Nilisema sehemu hawa mabeberu lazima watafute namna ya kutoa statement nchi nyingine yoyote ya Afrika isijarinu kuiga hiki alichofanya Magufuli.
FaizaFoxy Mzaramo sijui Mkwere msomi alirudia mara kadhaa kukumbusha kisa cha Nyerere na mabeberu walivyokuja kulipa kisasi miaka kadhaa baadae.
Tatizo hajui lugha ya kiingereza kwa hiyo anaona aibu kwenda huko duniani.
Alipoenda Zimbabwe tu akawa ni kichekesho cha mwaka ati yeye ni Cataristi wakati huku nyumbani yeye ni kiongozi wa malaika na hapohapo yeye ni jiwe hahahaaa!!
Ati anatamani malaika wake waishukie mitandao ya jamii
Hatujawahi kupata kiongozi anayelitia aibu taifa kama huyu wa awamu ya Tano.
Bora hao Phd zao ni original sio ya huyu alipoulizwa na Ben Saanane tu kuhusu uhalali ghafla akatumwa Bashite ampotezeLimbukeni kiingereza ni kama lugha yoyote unafikiri Rais wa China au Urusi unafikiri wanaongea kiingereza wanapofanya Ziara ulaya au Marekani?....na hapo ulipo hata kutunga sentensi moja ya kiingereza sahihi huwezi
Sent from my iPhone using JamiiForums