Unajua ushindi wa Tanzania kwenye makinikia ni aibu na fedhea kwa ulimwengu wa magharibi.
Nilisema sehemu hawa mabeberu lazima watafute namna ya kutoa statement nchi nyingine yoyote ya Afrika isijarinu kuiga hiki alichofanya Magufuli.
FaizaFoxy Mzaramo sijui Mkwere msomi alirudia mara kadhaa kukumbusha kisa cha Nyerere na mabeberu walivyokuja kulipa kisasi miaka kadhaa baadae.