Baridi la Makete

tafiti zinaonyesha ni rahisi na ni nafuu kupambana na baridi kuliko joto,joto linasababisha mpaka stress likikubali,wakazi wa dar wanajua.
 
Inategemea na pahala umefikia. Kama umefikia sehemu comfortable, chumba kizuri cha kisasa, madirisha ya vioo,kumepigwa ceiling nzuri. Ndani kuna umeme, TV nzuri kubwa ,kinga'muzi kilicholipiwa na External Hard drive yenye movie za kutosha,kitanda kina blanketi nzuri nzito za kukupa joto.

Jikoni kuwe na chakula especially bites za kutosha kama biscuits, karanga, tambi, zabibu kavu, matunda mbali mbali, kahawa nzuri kama Nestle, maziwa, asali, tangawizi ya unga, heater ya maji, upate na internet hapo aaaaaah wewe hautataka kuondoka hilo eneo.
 
Mh nilienda njombe msimu wa joto ila nililala na track na jeans soksi koti na blanket mbili kibwa mixer nilivuta sativa nyingi sana skuhzo nilizokaa huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
bila kisahau papuchi yenye jotrooooo
 
Nimefika Mbeya baridi naisikilizia ni balaa.
Natamani nkatafute mwanachuo.....
 
Wewe ni introvert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…