Nakuelewa mjukuu wa Karume,wanasema kila mtu ashinde mechi zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyooo??
Polisi wetu wapumbavuu sana wewe fikilia panya road wanafunga mtaa masaa4 mazima bila ya kuonekana hata polisi mmoja [emoji34][emoji34]..ukipata na matatizo mtaani, ya watu kama hao wewe piga simu polisi waambie tu kuwa mbowe yupo mtaani ana andamana utashangaa ndani ya sekunde 20 tu polisi kama 100 wamesha fika...wengine bila hata ya kuvaa boksa na wengine wakiwa wameshika miswaki waliyokuwa wanasafishia meno. Nijambo la kushangaza sanaNa mnajinadi mna intelijensia ya Polisi ambao wana nguvu mpaka ya kufitini uchaguzi mkuu ila dogo kama huyu anasumbua mtaa.
Haaa[emoji35][emoji35]mbona bado mzima huyo ..ongezeni motoNdio huyu Jana wamemchoma Moto hapa hapa Tabata Kinyerezi? Walikua Watatu kwenye pikipiki wakapora Ila yeye akashindwa kuwahi Kupanda boda ndio watu wakamvamia, akato panga kujitetea ndio ikawa kiama chake.View attachment 2279115
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Wewe unaongea utopolo hao vijana wanakamatwa kwa matukio kila kukicha na kupelekwa polisi ...kama wananchi wanawajua wewe unafikiri polisi awawajui ...tena hao vibaka wanajuana na mapolisi hadi majina ya ukooo...ukiwakamata na kuwapeleka polisi utasikia wanatajana majina na polisi " wewe fulani umeruditena polisi umefanya nini tena" na jamaa ana wataja maafande kwa majina ....Tatizo kubwa la Dar hivi vitoto tunavifuga wenyewe, wala hakuna sababu nyingine na tusiwalaumu Polisi.
Tuko nao mitaani na tunawajuwa na hatuchukui hatua stahiki kukomesha tabia hizi.
Mkuu Weka picha Moja hapa make Hata humu wapo wengi sanaa wapate funzoHuzuni imetawala wapi... Mleta mada nadhani wewe ni partner uliyenusurika kwani mlikuwa watatu wawili mkaweza kukimbia. Tukio limetokea maeneo ya kinyerezi mibega muda wa saa 11 na dakika chache, ambapo mlimvamia binti ambae alikuwa akielekea kazini na kumpora pochi kama hiyo haitoshi mkamjeruhi na panga bahati nzuri kulikuwa na mlinzi wa duka aliyekuja kusaidia... marehemu akajaribu kumpiga na panga yule mlinzi alipokwepa panga likadondoka, na mlinzi akaweza kumdhibiti kibaka na raia wakawa tayari kutoa msaada, Msamaria mmoja akatoa petrol na wengine wakaleta kuni ili kuhitimisha shughuli........ picha si nzuri kuziweka hapa
nilipita eneo la tukio alfajiri nikasimama kuchukua umbea.. wakazi wa eneo hilo wamefuhi sana kwani baadhi walimtambua kwamba amekuwa akisumbua sana eneo hilo
Siku hizi mambo shwari mkuuMbna huko unakotaja ndio Kuna uhalifu wa. Kutisha
Polisi wanajua hawa wahalifu alafu hakuna hatua?Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.
Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.
[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Tuna police force ya ajabu kuwahi kutokea duniani.Polisi wetu wapumbavuu sana wewe fikilia panya road wanafunga mtaa masaa4 mazima bila ya kuonekana hata polisi mmoja [emoji34][emoji34]..ukipata na matatizo mtaani, ya watu kama hao wewe piga simu polisi waambie tu kuwa mbowe yupo mtaani ana andamana utashangaa ndani ya sekunde 20 tu polisi kama 100 wamesha fika...wengine bila hata ya kuvaa boksa na wengine wakiwa wameshika miswaki waliyokuwa wanasafishia meno. Nijambo la kushangaza sana
Kwahiyo kwa akili yako ya kuchambia kama ya sa100 unafikili hao FFU NA MAGEREZA NA POLISI WA STAKISHARI AWAISHI NA SISI MITAANI maana mimi ilo eneo la ukonga nalijua vizuri kwa sababu nikitakaga kusafiri kwa ndege nakodigi gesti au hoteli maeneo ya ukonga ..karibu kila mtaa wa ukonga kuna askari kama siyo polisi ni magereza au FFU au jwtz au mmojawapo wa maaskari wastahafuNyie wakazi wa Ukonga waoga sana mnaficha waalifu pale kuna FFU na Gereza mgetoa taarifa chap kwa haraka
Mbona nmeishi Sana mbuyuni njia panda segerea sijawahi msikia kabisa ata akitamkwa uyo alikuwa special kwa mashoga tu labdaNdo unachokijua? Umeambiwa anafanya ujambazi kwa watu wote.
Nyokoooooh
Hao wavuta bange afande khamis kawafyeka Sana kigamboniPolisi wetu wapumbavuu sana wewe fikilia panya road wanafunga mtaa masaa4 mazima bila ya kuonekana hata polisi mmoja [emoji34][emoji34]..ukipata na matatizo mtaani, ya watu kama hao wewe piga simu polisi waambie tu kuwa mbowe yupo mtaani ana andamana utashangaa ndani ya sekunde 20 tu polisi kama 100 wamesha fika...wengine bila hata ya kuvaa boksa na wengine wakiwa wameshika miswaki waliyokuwa wanasafishia meno. Nijambo la kushangaza sana
Hao wavuta bange afande khamis kawafyeka Sana kigamboni
Yaani akikudaka akakuonya Mara 2 ya 3 anawaambia familia waandae utaratibuHamisi Bodaboda jamaa genius kinoma kigamboni ukisahau kitu kwenye bajaji unakipata jamaa kawarestisha kimyakimya bila kelele
Yaan nikose mie kwa Mange? Akati kuna mi ubuyu miwili niliipeleka mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Idara hii upo vizuri! Mange ajakuona tu bado kwa app yake
Wala mie siwezi kukutwa na watu km hawa, matukio ya wengine ndo hivyo.Cocastic alikufanya nini aisee. Sio kwa maneno hayo.
Watu wa GYM dar ni ma bottoms tyuuh, wanafake ili jamii isiwajue, wanabaki kuumbuka tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanafikiri wakabaji,majambaz basi wanakuwaga na miili mikubwa
Kama wabeba vyuma
Kumbe madogo kama hawa kwanza wana roho mbaya,majasiri,hawana uwoga wowote
Akitoa silaha hairudi....
Sahv wabeba vyuma wengi kwqnza machk au unasemaje dear
Ova