TANZIA Bariega amefariki dunia

TANZIA Bariega amefariki dunia

Nani kakuambia
Mbona arusha huko teleza sjui
Kawalqmba sana wake za watu hadi kuwafukunyua 712 zao
Wakaz hko wanabaki kulialia tu
Dar we iba kaba ila utakutana na kiama chako

Ova
Teleza anavizia na anatumia ndumba kuingia ndani ya nyumba ila hivyo vitoto (Panya road na wengineo) vinafanya uhalifu hadharani bila upinzani wowote! Midume mizima unakuta inakimbia misambwanda inatikisika kisa panya road! Bado nauliza DAR KUNA WANAUME KWELI!!!???
 
Duh wanaume wake Dar Kuna sehemu mnafeli. Boya Kama huyo LabdA wake watatu ndo waniweze. Huku kwetu hakyamungu hats umaarufu huo asingeupata. Angekufa mapema zaidi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo jamii inakuleana,watu wanaweza juwa fulani ni mhalifu
Wakamlea
Ila kuna maeneo mengine dar mwizi,kibaka akiingia hatoki salama
Watamfanya kitu mbaya
Kikubwa watu waache kuleana na kulindana

Ova
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko Tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997
Sasa huzuni imetawalaje tena?
 
Tatizo jamii inakuleana,watu wanaweza juwa fulani ni mhalifu
Wakamlea
Ila kuna maeneo mengine dar mwizi,kibaka akiingia hatoki salama
Watamfanya kitu mbaya
Kikubwa watu waache kuleana na kulindana

Ova
Hao dawa yao kufa TU Tena hadharani bila ajizi.
Anaonewaje huruma aso huruma?

Back
Top Bottom