TANZIA Bariega amefariki dunia

TANZIA Bariega amefariki dunia

Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.

Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.

[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Watu na maujuzi yao
 
Coca bana[emoji28][emoji28]..Umetiririka pointi vizuuuuri kabisa ila mwishoniii umekuja kumaliza vibaya,Kwa nini utaje mashoga????

Unapenda sn vita asee[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uongo nisiseme matukio yake? Kwani mashoga ndo halali kufanyiwa matukio ya ujambazi? Lazima ukweli tuuseme kwa yale aliyo yafanya wakati wa uhai wake.

Majambazi wengi hawa vibaka konkii wa uswahilini, wanapenda sana kuwarubuni gays hasa waarabu na wahindi koko wanajua wana vitu vya thaman. Wao wanajifanya mabasha ili wawapate kirahisi, wamepora na kujeruhi sana gays.

Huyo alimpora bottom wa kiarabu, iphone 13 pro, wallet yenye pesa, SAA, cheni, had sandols, mtoto wa watu alitembea peku, hiyo yote kuogopa kuuliwa maana alimbonda kwani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ni vile gays hawana Pa kusemea. Na hawa majambazi na vibaka wanawapenda kweli si wanajua hakna kwa kushitaki.

Bora lilivyokufa, likampumzike sasa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dogo mwenyewe nyama hana... huyu namkabizi kwa my man Extrovert anamkalisha vizuri tu, ila cha ajabu wakazi wa darisalama wanaingiza baridi.

Angekuwa huku A town kitambo tu tungeshamzika.
Asee arifu ni anakula mavitasa vya abuja ani, akija kudere yani ni kashakuwa mtori! Ila machalii wa dizonga ni mafoo...Huyu kuzi kwa hapo chuga ni chaap tu imeishaa!!!
 
Coca bana[emoji28][emoji28]..Umetiririka pointi vizuuuuri kabisa ila mwishoniii umekuja kumaliza vibaya,Kwa nini utaje mashoga????

Unapenda sn vita asee[emoji28][emoji28]
halafu mbaya zaidi kataja gays waarabu. ngoja watetezi wa dini waje, si unajua tena, ukigusa uarabu ni kama umegusa dini ya watu.
 
Back
Top Bottom