Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kunguru tuna nini mshana ?Kausha mjukuu hapa hapafai kunguru wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunguru tuna nini mshana ?Kausha mjukuu hapa hapafai kunguru wengi
Jitokeze kwenye 18 zake ndoutajua, hawa wakisema moja inakuwa mojaWanaume wa dar mna tatizo siwaelewi yaani kijana mdogo hivyo anawasumbua mpk anakuwa mashuhuri Ina maana ilikuwa hamna shujaa wa kujitolea kumkaanga.anyway RIP nimekaa tabata barakuda five years ila sikuwahi kumsikia sijajua matukio yake ilikuwa wapi mpk atue huzuni hivyo kwa tabata
huko ukonga ndiko wamejaa wanaume kutoka Tarime kama walishindwa kumdhibiti sijui unazungumzia niniHivi Dar kuna wanaume kweli!!!???
Huyo Kijana angefanya upumbavu wake huku Tarime kitambo sana mshamsahau.
Labda kakosea eneo sio tabata itakuwa chanika au buza. Tabata hakuna huo upuuzi.Wanaume wa dar mna tatizo siwaelewi yaani kijana mdogo hivyo anawasumbua mpk anakuwa mashuhuri Ina maana ilikuwa hamna shujaa wa kujitolea kumkaanga.anyway RIP nimekaa tabata barakuda five years ila sikuwahi kumsikia sijajua matukio yake ilikuwa wapi mpk atue huzuni hivyo kwa tabata
Aisee nimecheka sana 😂😂😂😂 kumbe huko chuga kuna wachumba tu hakuna wanaumeSiyo hivyo tu kuna jamaa miaka ya nyuma alibaka mwanamke hadharani tena sokoni huko huko Chuga hadi akakojoa akasepa zake huku njemba za huko zinamuangalia ni polisi alijitokeza akam shoot wakati akikimbia ila njemba zilimkodolea macho jamaa akishusha wazungu hadharani
Sikijui iki kitoto mbonaBariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala
Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.
Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha
View attachment 2278997
Kumbe gaidi wa mashogaTobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.
Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.
[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Umeshakamata wangapiZipo mbinu za kudili na wezi washirikina yaani wale ambao awakamatiki au wale wasiosikia vipigo au wale wenye machale kuna namna yao ya kuwakamata na kuwashughilikia
We anawashwa wapiSingependa kukuvunjia heshima kidogo uliyonayo lakini nadhani unawashwa
Nyie mnaotmbewa na tereza wake zenu mkiwa mmelala ndo muweze kupambana vitasa vya abuja??Asee arifu ni anakula mavitasa vya abuja ani, akija kudere yani ni kashakuwa mtori! Ila machalii wa dizonga ni mafoo...Huyu kuzi kwa hapo chuga ni chaap tu imeishaa!!!
Duh hapa mtu huna ujanja
Wapumbavu sana hawa watoto. Wanahisi uhalifu wa kutumia nguvu ni ujanja maisha haya?!Ndio huyu Jana wamemchoma Moto hapa hapa Tabata Kinyerezi? Walikua Watatu kwenye pikipiki wakapora Ila yeye akashindwa kuwahi Kupanda boda ndio watu wakamvamia, akato panga kujitetea ndio ikawa kiama chake.View attachment 2279115
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Noma sanaHawa inaelekea mwishoni walienda mmkz huyu dada
Ova
Wakazi wa dar 90 wanatoka mikoaniHaka ka chalii ndio kanasumbua mtaa mzima. Hivi huko Dar kuna wanaume kweli?
Huyu janja kwa mwonekano tu namkalisha dakika mbili nyingi.
Sijapata kesi hioUmeshakamata wangapi
Arusha si kuna yule teleza kawadandulia sana watu wake zao huko hadi kuwatafuna jichoAisee nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huko chuga kuna wachumba tu hakuna wanaume
Hao hawapiganagI bila silaaHaka ka chalii ndio kanasumbua mtaa mzima. Hivi huko Dar kuna wanaume kweli?
Huyu janja kwa mwonekano tu namkalisha dakika mbili nyingi.