TANZIA Bariega amefariki dunia

TANZIA Bariega amefariki dunia

Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997

Sema Furaha kubwa imetawala, huzuni ya nini? Hivi kwanini nyie watu mnaongea vitu tofauti kabisa na uhalisia, kibaka, mwizi afe alafu huzuni itawale? Acheni kuwa vinyonga, sema watu wamesherehekea kifo chake
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997
Mtoa Uzi huzuni ya nn maana umesema alikuwa anakata watu kwa mapanga unamaanisha wanasikitika mbaya wao kufa?????
 
Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.

Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.

[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.

Jambazi au kibaka?
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997
Ni panya road huyu ?....
 
Arusha Kuna jamaa mbakaji alikua anaitwa TELEZA katomber Sana wake zenu mkabaki mnalia Lia kwa miaka mingi tu,kauawa juzi Kati tu Kule Murieti?
Alikuwa hatumii ushirikina kweli ?
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997

Mtu mwenyewe haenei hata kiganjani
 
Labda kama alikua anatumia uchawi lakini hivihivi tu huyu anikabi au pengine najipa moyo kwasababu nilikua najitahidi sana kuelewa Jeet Kune Do ya teacher Abdallah Mkamba na Karate za Suleiman Kumcha.
 
Tobaaaaaah hili jambazi kuu la Banana - Ukonga, limeuwawa? Huyu mtu ni kheri ukutane na simba mwenye njaa, sio huyu kiumbe, n hatareee, yaan ni jambazi aliyevuka viwango wa Ugaidi.

Alikua anapenda sana kutesa, kuibia, na kuwajeruhi watu, yaan ukiingia ktk 18 zake umeishaa, alikua na mtindo wa kuwarubuni Gays hasa waarabu koko wa Kariakooo, na amewaliza kwa kweli.

[emoji119][emoji119][emoji119] afadhari akapumzike khaaah, bado mwingne anaitwaa Zabonga. Naye iko siku atasepeshwa.
Duh uchokoo vigumu sana kuisha,nipo hapa Jaromex hotel aisee ni balaa tupu machoko kibao yanafanya pati floo ya 6.
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997
Harafu mtoto mwenyewe mbona mweupe,dar hakuna wanaume wa maana.
 
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko tabata uzuni imetawala

Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.

Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha

View attachment 2278997
Aseh
 
Safi sana inapendeza, bado kadhaa watatiwa kwenye 18 muda siyo mrefu...
 
Back
Top Bottom