- Thread starter
- #241
🤣Huyo fala alisababisha nikamkimbia demu wangu mitaa ya relini banana nikamdanganya demu nikichanganyikiwa kumbe ni balaa la huyo fala
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Huyo fala alisababisha nikamkimbia demu wangu mitaa ya relini banana nikamdanganya demu nikichanganyikiwa kumbe ni balaa la huyo fala
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Teleza anavizia na anatumia ndumba kuingia ndani ya nyumba ila hivyo vitoto (Panya road na wengineo) vinafanya uhalifu hadharani bila upinzani wowote! Midume mizima unakuta inakimbia misambwanda inatikisika kisa panya road! Bado nauliza DAR KUNA WANAUME KWELI!!!???Nani kakuambia
Mbona arusha huko teleza sjui
Kawalqmba sana wake za watu hadi kuwafukunyua 712 zao
Wakaz hko wanabaki kulialia tu
Dar we iba kaba ila utakutana na kiama chako
Ova
Tatizo jamii inakuleana,watu wanaweza juwa fulani ni mhalifuDuh wanaume wake Dar Kuna sehemu mnafeli. Boya Kama huyo LabdA wake watatu ndo waniweze. Huku kwetu hakyamungu hats umaarufu huo asingeupata. Angekufa mapema zaidi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sasa huzuni imetawalaje tena?Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko Tabata uzuni imetawala
Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe.
Alikuwa na mwenzake anaitwa Kambale naye aliuawa mwaka jana mpaka kwenye TV walimuonesha
View attachment 2278997
Wewe ni masau bwire?Wajinga wajinga kama hawa walinikata panga 2019 wakaniibia simu nne na laptop moja. Sitakuja kusahau wauaweeeee tu
Eti huzuni imetawala! Badala ya furaha imetawala!Sasa huzuni imetawalaje tena?
Hao dawa yao kufa TU Tena hadharani bila ajizi.Tatizo jamii inakuleana,watu wanaweza juwa fulani ni mhalifu
Wakamlea
Ila kuna maeneo mengine dar mwizi,kibaka akiingia hatoki salama
Watamfanya kitu mbaya
Kikubwa watu waache kuleana na kulindana
Ova
Zilikua za biashara boss... Tigo pesa, mpesa, halo pesa na ya mkononiWewe ni masau bwire?
Simu NNE?