Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

Katukatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
359
Reaction score
613
Katika kurahani na burudani redioni nikiwa nimetune Mawingu Fm Barnaba Classic akiwa anatambulisha Album yake mpya.

Albam aliyowashirikisha wasanii wenzake akiwemo Alikiba na Diamond.
Adam Mchomvu akamuuliza amewahi kushika Kiasi gani cha pesa kwa mara moja Barbaba Classic akadai Tz Shillings Bilioni mbili.

Big up Mopao na Kiwanda cha muziki bongo

Muziki unalipa sasa hivi
 
2,000,000,000 Tsh
Elfu 10 zipo 200,000

Mfano hizi hapa ni Million 700. Kwahiyo mara 3 yake.
06F5901B-3734-4DD8-866B-0890B45676FA.jpeg
 
sawa ashashika b2 ila sasa hivi anazo? na ne akiumwa au akipata majanga atazitumia au ataomba mchango kwa watanzania? me naangalia tu mchezo
 
Write your reply...Jamaa nilimdharau sana. mdogo wake wa kiume alienda kuishi kwakwe akawa hamsaidii kwa lolote Babake naye akawa analalamika Barnaba hamsaidii chochote hata nyumba a ayoishi. inavuja Walirusha Shilawadu hii habari....hapo alikuwa anachangia kituo cha watoto mayatima kijengwe....Shilawadu walikataa hiyo pesa akaambiwa akamnunulie Mzee wake bati! Bilioni mbili za mavi labda
 
Kwa billion 2 hakuwa na haja ya kwenda wasafi huyo😂😂😂
 
Back
Top Bottom