Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

Inaegemea ni Billion mbili ya nchi gani... huenda ni ya Zambia ila kwa Tanzania hapana hata kama I ingisha tungeona kitu imefanya.
 
Write your reply...Jamaa nilimdharau sana. mdogo wake wa kiume alienda kuishi kwakwe akawa hamsaidii kwa lolote Babake naye akawa analalamika Barnaba hamsaidii chochote hata nyumba a ayoishi. inavuja Walirusha Shilawadu hii habari....hapo alikuwa anachangia kituo cha watoto mayatima kijengwe....Shilawadu walikataa hiyo pesa akaambiwa akamnunulie Mzee wake bati! Bilioni mbili za mavi labda
Ndg usiwe mshamba kwenye jamii ya kiafrika. Ukioata pesa kidogo wao hawataki tena kazi wanatqka uwe unawapa bure
 
Milion 700 buti ilitakiwa iwe imesheheni hata kufunga iwe tabu, hizo bunda ni za million 10/10 ili zifike 700 ilitakiwa bunda ambazo kwa huo ukubwa haziwezi fiti kwenye hilo bag.
Ndio maana nikashangaa,hilo begi haliwezi kubeba hio hela hata ulazimishe
 
Back
Top Bottom