Barnaba azua gumzo adai alishika Bilioni 2 kwa mara moja

Inaegemea ni Billion mbili ya nchi gani... huenda ni ya Zambia ila kwa Tanzania hapana hata kama I ingisha tungeona kitu imefanya.
 
Ndg usiwe mshamba kwenye jamii ya kiafrika. Ukioata pesa kidogo wao hawataki tena kazi wanatqka uwe unawapa bure
 
Milion 700 buti ilitakiwa iwe imesheheni hata kufunga iwe tabu, hizo bunda ni za million 10/10 ili zifike 700 ilitakiwa bunda ambazo kwa huo ukubwa haziwezi fiti kwenye hilo bag.
Ndio maana nikashangaa,hilo begi haliwezi kubeba hio hela hata ulazimishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…