Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Lazima atakuwa analiwa witi huyu, kuliwa witi kwenye kutaka umaarufu na utajiri hizo mambo ni ritualsMkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike.
Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea sana suala hilo kwa kuwa haliwahusu watu pia kazi yake ya sanaa inaingiliana na mambo ya fashion, kupata comments nyingi na watu kumuongelea.
View attachment 2017162
Kinondoni mzee. Huku Temeke hamna izo mambo.Duu wanaume wa Dar!!