Barnaba: Diamond sio Mwanamuziki

Nilisikiliza yale mahojiano, mtoa mada umechakachua hakusema hivo
 
Ni kweli si dayadomo tu bali na wanamziki wengineo wanaimba kijanja...

Lakini ndio hivyo mashabiki wao wameamua kuwakubali kihivyo hivyo...
 
Bila kumtaja Diamond wanajua interview itaishia kwenye matundu ya masikio ya watu....

Chibu oyeeeeeeeeee wapelekesheeeeeeeeeeeeee

Lazima huyu anatumia Chibu keshokutwa tutasikia anatoa nyimbo mpya

Kwel kbs aisee,wanataka afuate noter kwan anaimba kwaya
 
Masikini Barnaba! Bora ungebaki na hili jambo moyoni tu maana wenzio huku tuna maadui wengi sana kisa kusema ukweli kua Diamond sio mwanamuziki na hajui kuimba!

Kwa ujanja ujanja tu namkubali!
 
Muziki ni rugha ya dunia ukiona unaimba kenya au Nigeria hawakusikilizi ujue bado kiwango chako ni cha chini imba kama Diamond tusikie ujerumani wanacheza pls watanzania wengi wanawivu sana Dogo anafanya kweli wamwacheee dogo
 

Tehteh nyota hiyo aliiona kutokana na mashabiki sasa washaona dogo bichwa kubwa, asome alama za nyakati, ni ushauri tu, mashabiki mandazi kama mmemind 😱😱😱 kazi kwenu
 

fatilia maelezo yangu kwa makin
 

Maelezo yako nayatamani niyakubali ila bado hujanielezea nikatosheka bado bado.
Sababu kusoma noten whatever Mbona ukijifunza utaweza WaPo wasanii kibao wanazijua ila kuimba sasa maproducer wanasoma wanapita ala zote ila uwezi wafananisha na diamond.
Rudia desa ulipo copy then come back.
Kifupi unanipa matango mwitu sijakubalia na wewe.
 
Tehteh nyota hiyo aliiona kutokana na mashabiki sasa washaona dogo bichwa kubwa, asome alama za nyakati, ni ushauri tu, mashabiki mandazi kama mmemind 😱😱😱 kazi kwenu

Mashabiko maamdazi .....lol

Mtaishia kumeza ndimu bila kukata.

Nani anapiga show za bei na kujaza, Chibu ana fans wa level zote nchini na usiishie kusemaashabiki.

Watu na higj class uwaambii kiti jiu ya chibu pia....watotobwa uzunguni ndio usiseme...chezea watu wanaoheshimu watu kama Chibu wanaojua kujiweka wanapotaka kwa nguvu zao na sio kushikilia mkia.

Wivu.com kwa wachukiao sababu ya wivu na chuki sababu anaendelea na yupo juu.

Mtaliaje usiku huu

Pia kumbuka nani anayeuza miziki na kuwa famous kwa nyimbo kumpa pesa kama sio fans...so ongea libgine labda kama mwamuziki anauza records angani kuuzia hewa
 

Duh kila anayetoa ushauri adui wa domo haya endelea kuimba twaaarab tuone kama utafanyia shoo kwenye majukwaa hahahahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…