ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Yeye anaejuwa mbona hasogei .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kumtaja Diamond wanajua interview itaishia kwenye matundu ya masikio ya watu....
Chibu oyeeeeeeeeee wapelekesheeeeeeeeeeeeee
Lazima huyu anatumia Chibu keshokutwa tutasikia anatoa nyimbo mpya
Masikini Barnaba! Bora ungebaki na hili jambo moyoni tu maana wenzio huku tuna maadui wengi sana kisa kusema ukweli kua Diamond sio mwanamuziki na hajui kuimba!
Mwanamuziki gani anafunha suruali eti sababu atashuka kimuziki?
Wanawake hao hao wanaompapatikia ndio wanampa chati.
Lini umesikia ametoka na wanawake wawili au watatu kwa wakati mmoja?
Mwanaume gani anafinga suruali kwa wanamuziki tena wengine wachafu haswa kwa tabia zao.
Wamemsema hazai akitoka na single girls sasa kaamua kutoka na mdada aliyeachana na mume mwenye watoto nayo shida.
Wivu unawasumbua kujaji ka vile nyie Mungu na wanawake hawajui ku do na wanaume hawajawai ku do.
Tatizo lake ni nyota
Bila shaka unafahamu mwanamuziki anatokana na muziki? SWALI: MUZIKI ni nini? Kutokana na maelezo yako nina mashaka ukiwa unafahamu nini maana ya muziki kwa sababu, ala ni sehemu moja ya muziki kati ya sehemu kuu mbili za muziki ambazo ni vocal na instrumental... muziki ni ama vocal au ala au mchanganyiko wa vyote kwa pamoja! ukisema kigezo kimoja wapo cha kuitwa mwanamuziki ni kujua kupiga ala ni kwamba unataka kubadili tafsiri ya nini maana ya muziki na kuondoa kile kipengele cha "ama vocal" na kubakiza vocal na instrumental... na kwa maana hiyo, wapiga ala wote ambao wengi wao sio waimbaji unataka kusema nao sio wanamuziki unless kama tubadilishe tena definition ya muziki kutoka kuwa vocal na instrumental na kubaki kuwa instrumental peke yake!!!
kigezo kikubwa kimojawapo cha mtu kuitwa mwanamuziki ni kujua kupiga ala za muziki primarily piano na gitaa.
ukiachana na hilo, mwanamuziki inabid aweze kusoma nota za muziki kwenye karatasi na kuuimba hata kama aliyeandika nota hizo ni mtu wa taifa lingine anayetumia lugha tofauti na yake.
si lazima awe na uwezo wa kutunga wala kuwa na sauti nyororo.
tukija kwa domond, yeye ni just a msanii tu na wala sio mwanamuziki kutokana na kutokuwa na qualification za pale juu.
kwa bongo wanamuziki wapo wachache sana mfano mzuri ni BANANA & BARNABA, at least hao ndio waliokuja kichwan fasta.
Tehteh nyota hiyo aliiona kutokana na mashabiki sasa washaona dogo bichwa kubwa, asome alama za nyakati, ni ushauri tu, mashabiki mandazi kama mmemind 😱😱😱 kazi kwenu
Mashabiko maamdazi .....lol
Mtaishia kumeza ndimu bila kukata.
Nani anapiga show za bei na kujaza, Chibu ana fans wa level zote nchini na usiishie kusemaashabiki.
Watu na higj class uwaambii kiti jiu ya chibu pia....watotobwa uzunguni ndio usiseme...chezea watu wanaoheshimu watu kama Chibu wanaojua kujiweka wanapotaka kwa nguvu zao na sio kushikilia mkia.
Wivu.com kwa wachukiao sababu ya wivu na chuki sababu anaendelea na yupo juu.
Mtaliaje usiku huu
Pia kumbuka nani anayeuza miziki na kuwa famous kwa nyimbo kumpa pesa kama sio fans...so ongea libgine labda kama mwamuziki anauza records angani kuuzia hewa
Duh kila anayetoa ushauri adui wa domo haya endelea kuimba twaaarab tuone kama utafanyia shoo kwenye majukwaa hahahahahahah!