Barnaba Usitake Kuniangusha!

Barnaba Usitake Kuniangusha!

Ipo siku atataka kurudi.
Amshukuru mchina kampendezesha.
 
Ndo mana sinaga imani na manamake......... ndo mana mi huwaga nazibua mbele na nyuma hata likiondoka najua nshazibua vyemba.
Wale kuwapapachua tu papuch tu maana hayana fadhila mshkaj kamtunza leo kaambulia kidole cha kati
 
Ndo mana sinaga imani na manamake......... ndo mana mi huwaga nazibua mbele na nyuma hata likiondoka najua nshazibua vyemba.
[emoji3][emoji3][emoji3]mzee una maana gani kwani?
 
ya linikuta na mim...mfazili mbuzi tu...mwanamke hafadhiliwi navoongea iv nshajuta ...vya kutosha ..
Ni pale mnapoamua kuyafanya mapenzi kama compulsory wakati ni subsidiary.

Take it as suplimentary in your life you wanna be happy ever!
 
Back
Top Bottom