Barnaba Usitake Kuniangusha!

Barnaba Usitake Kuniangusha!

Lakini pia hatuna uhakika kama barnaba kaumia kwa kufanyiwa hivyo maana huyo nae labda ana uchungu wake anaamua kuutoa hivyo na pengine huko anaumia zaidi ya kule ili mradi dunia mapito furahia wakati ulio nao
 
Sure mkuu kazidiwa akili na papuch moja ndo ubaya wa kujifanya unaleta mapenzi ya kufilipino bongo, waacha sisi tugegede both sides
siku hizi sio both sides mkuu...hiyo ilikuwa an algebraic ya mfumo wa zamani....siku hizi mlinganyo huu una pande tatu yani (three holes involved)

[emoji3][emoji3][emoji3]mzee una maana gani kwani?
Nna maana lazima nicheze viwanja vyote ili hata akiondoka roho haiwezi kuniuma mana najua nshachimba both holes.....
 
siku hizi sio both sides mkuu...hiyo ilikuwa an algebraic ya mfumo wa zamani....siku hizi mlinganyo huu una pande tatu yani (three holes involved)

Nna maana lazima nicheze viwanja vyote ili hata akiondoka roho haiwezi kuniuma mana najua nshachimba both holes.....
Kumbuka hata yeye anaweza kukutia vyumba kwenye hole yako sijui hilo likoje!
 
huyo dada mwemyewe kamvumilia barnaba kwa mengi..alishawahi fumaniwa mara nyingi tu na shilole..
binti alitulia ndani anazeeshwa.
kuzaa nae sio inshu..
Ulishawahi kuona mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja? Huko alikoenda ndiyo kabisa stress zitahamia kwake, atajuta, mwanaume hakomolewi dunia ya leo.
 
Inaonyesha walitoka mbal sana
Wametoka mbali wapi bhana wewe.... Wao si wamekutana hapa hapa dar huo umbali upo wapi hapo? Nilifikiri katoka nae mbali labla kamwokota Mbeya wamekuja dar kwa miguu kutafuta maisha kumbe wame toka hapa hapa dar....
 
Sasa anaimia nini kama chombo kingine songa mbele huyo mpemba anakula makombo..!
 
Hivi mkuu unaanzaje kuzibua chemba maana wengi wao huwa hwataki hata kusikia hiyo kitu
Lazima utumie procedure stahiki mkuu....demu ukiwa nae on bed af akaanza kukukwambia hapendi kuliwa upande wa pili ujue huyo ndo mliwaji....heri yule asiyeongea kitu kabisa.....................
 
Women are multi-target,
Never trust them at all percentage.

Uvumilivu uliishia miaka ya 1980's.
Kwa sasa, ukijichanganya tu, naye anakuchanganya.
 
Wametoka mbali wapi bhana wewe.... Wao si wamekutana hapa hapa dar huo umbali upo wapi hapo? Nilifikiri katoka nae mbali labla kamwokota Mbeya wamekuja dar kwa miguu kutafuta maisha kumbe wame toka hapa hapa dar....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Barnaba ni nani mpaka asiachwe?? Muache kuhukumu watu wakati hamyajui maisha yao na wala hamjui nini kimesababisha waachane.
 
Back
Top Bottom