Watu wajinga sana. Sijui hata wanahukumu nini hapa.Tazameni pande zote mbili then hukumuni
So ulitaka akae tu na mtu hata kama anaona hamfai tena? Nikujulishe tu kuwa hata mwanamke aridhishwi na mwanaume mmoja hasa pale ambapo mwanaume amekuwa kero kwake. Ni vile tu tumefundishwa uvumilivu.Ulishawahi kuona mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja? Huko alikoenda ndiyo kabisa stress zitahamia kwake, atajuta, mwanaume hakomolewi dunia ya leo.
Hapo alipoona ametua moyo wake ajiandae kuuumizwa kuliko alikotoka.So ulitaka akae tu na mtu hata kama anaona hamfai tena? Nikujulishe tu kuwa hata mwanamke aridhishwi na mwanaume mmoja hasa pale ambapo mwanaume amekuwa kero kwake. Ni vile tu tumefundishwa uvumilivu.
Hakuna cha maanaWatu wajinga sana. Sijui hata wanahukumu nini hapa.
Mkuu fafanua vizuri basi maana hizi mambo ni muhimu kufahamishana unaweza unakaa na demu kumbe enzio wapakua chemba we umejikalia kudownload tu series za zamaniLazima utumie procedure stahiki mkuu....demu ukiwa nae on bed af akaanza kukukwambia hapendi kuliwa upande wa pili ujue huyo ndo mliwaji....heri yule asiyeongea kitu kabisa.....................
That is I don't care attitudemke wake mafia sana! anapiga picha ameonesha dole la kati!
wahenga walisema..HERI LAWAMA KULIKO FEDHEHA!Ulishawahi kuona mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja? Huko alikoenda ndiyo kabisa stress zitahamia kwake, atajuta, mwanaume hakomolewi dunia ya leo.
Ni sawa. Kuumizwa kupo kote kote hata uende wapi. Lkn hatujui sababu ya huyo dada kuachana na barbaba. Je kama ni barnaba ndio alikuwa tatizo? Mapenzi ya watu wawili ambayo hatuwajui kwa undani si vizuri kuhukumu upande mmoja.Hapo alipoona ametua moyo wake ajiandae kuuumizwa kuliko alikotoka.
Unahisi hapo alipo sasa ni sehemu husika kwa furaha ya maisha yake?wahenga walisema..HERI LAWAMA KULIKO FEDHEHA!
heri zubeda alaumiwe kumkimbia barnaba alietoka nae mbali na kuzaa nae kuliko kufedheheshwa kila siku huyo bwana anakutwa hadi na mapaparaz wa shigongo kapakata makurumbembe.
MWANAUME SIO KILA KITU KATIKA MAOSHA YA MWANAMKE..
KUISHI BILA MWANAUME INAWEZEKANA!!
Huyo amefuata u hand same wa huyo jamaa, lakini akumbuke kuna wasichana wazuri zaidi yake wanamtaka huyo jamaa, ameingia kwenye ushindani mkubwa kuliko alikotoka, hawamalizi mwaka, note my word.Ni sawa. Kuumizwa kupo kote kote hata uende wapi. Lkn hatujui sababu ya huyo dada kuachana na barbaba. Je kama ni barnaba ndio alikuwa tatizo? Mapenzi ya watu wawili ambayo hatuwajui kwa undani si vizuri kuhukumu upande mmoja.
Atajua mwenyewe na handsome wake. Lkn kama na barnaba ilishindikana ni sawa tu kujimuvisha sehemu nyingine kuliko kuishi na moyo unaosononeka maisha yako yote. Furaha ya moyo wako jipe mwenyewe..na akili kichwani mwako!Huyo amefuata u hand same wa huyo jamaa, lakini akumbuke kuna wasichana wazuri zaidi yake wanamtaka huyo jamaa, ameingia kwenye ushindani mkubwa kuliko alikotoka, hawamalizi mwaka, note my word.
anajua mwenyewe..kamuulize.Unahisi hapo alipo sasa ni sehemu husika kwa furaha ya maisha yake?
Sawa singo mama. Unajipa moyo sio kisa matango na ndizi siowahenga walisema..HERI LAWAMA KULIKO FEDHEHA!
heri zubeda alaumiwe kumkimbia barnaba alietoka nae mbali na kuzaa nae kuliko kufedheheshwa kila siku huyo bwana anakutwa hadi na mapaparaz wa shigongo kapakata makurumbembe.
MWANAUME SIO KILA KITU KATIKA MAOSHA YA MWANAMKE..
KUISHI BILA MWANAUME INAWEZEKANA!!