mwinchande84
Member
- Dec 2, 2012
- 63
- 16
Unaposikia watu wana mabillion huko Uswis unafikiri zinatoka wapi. Watu walishalishwa 1% ya kodi inayotakiwa kulipwa na Barrick 99% haionekani. Na hiyo 1% wamelishwa watu kama 3 tu. Wajuse Barrick usikie mziki wake. Nchi hii inaweza kukutia kichaa kwa mambo yanayoendeleaAccording to jaji bomani kampuni kubwa ya madini ya barrick gold inadai aijawai pata faida toka ianze kufanya shughuri za kuchimba madini apa Tanzania na ivyo aijawai kulipa corporate tax......wizi huu mpaka lini jamani?????are we that stupid???toka credit crunch in 2008 bei ya gold iko juu sana kiasi ata kampuni mbovu kabisa itaweza kutengeneza faida.kila mwaka tunaongeza ushuru vitu vile vile cie tupoje???kwanini tusizibe izi tax loopholes????????
According to jaji bomani kampuni kubwa ya madini ya barrick gold inadai aijawai pata faida toka ianze kufanya shughuri za kuchimba madini apa Tanzania na ivyo aijawai kulipa corporate tax......wizi huu mpaka lini jamani?????are we that stupid???toka credit crunch in 2008 bei ya gold iko juu sana kiasi ata kampuni mbovu kabisa itaweza kutengeneza faida.kila mwaka tunaongeza ushuru vitu vile vile cie tupoje???kwanini tusizibe izi tax loopholes????????
Namshukuru sana Mungu kwa kuwa hakuna anayezikwa na utajiri wake. Wote wanauacha hapa duniani ukichezewa na watu wengine na wao wakiungua moto jehanum wakisubiri kuingia kwenye ziwa la moto.Unaposikia watu wana mabillion huko Uswis unafikiri zinatoka wapi. Watu walishalishwa 1% ya kodi inayotakiwa kulipwa na Barrick 99% haionekani. Na hiyo 1% wamelishwa watu kama 3 tu. Wajuse Barrick usikie mziki wake. Nchi hii inaweza kukutia kichaa kwa mambo yanayoendelea
Issue sio kutoka yeye bali itoke CCM na mfumo wake maana hamna msafi mule.Itabadilika tu pale huyu mswahili kutoka Msoga akatakopoondoka magogoni for good.
Namshukuru sana Mungu kwa kuwa hakuna anayezikwa na utajiri wake. Wote wanauacha hapa duniani ukichezewa na watu wengine na wao wakiungua moto jehanum wakisubiri kuingia kwenye ziwa la moto.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums