Barrick gold awajalipa corporate tax toka ianze kufanya shughuri zake Tanzania

mwinchande84

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
63
Reaction score
16
According to jaji bomani kampuni kubwa ya madini ya barrick gold inadai aijawai pata faida toka ianze kufanya shughuri za kuchimba madini apa Tanzania na ivyo aijawai kulipa corporate tax......wizi huu mpaka lini jamani?????are we that stupid???toka credit crunch in 2008 bei ya gold iko juu sana kiasi ata kampuni mbovu kabisa itaweza kutengeneza faida.kila mwaka tunaongeza ushuru vitu vile vile cie tupoje???kwanini tusizibe izi tax loopholes????????
 
Unaposikia watu wana mabillion huko Uswis unafikiri zinatoka wapi. Watu walishalishwa 1% ya kodi inayotakiwa kulipwa na Barrick 99% haionekani. Na hiyo 1% wamelishwa watu kama 3 tu. Wajuse Barrick usikie mziki wake. Nchi hii inaweza kukutia kichaa kwa mambo yanayoendelea
 
Itabadilika tu pale huyu mswahili kutoka Msoga akatakopoondoka magogoni for good.
 
Unaposikia watu wana mabillion huko Uswis unafikiri zinatoka wapi. Watu walishalishwa 1% ya kodi inayotakiwa kulipwa na Barrick 99% haionekani. Na hiyo 1% wamelishwa watu kama 3 tu. Wajuse Barrick usikie mziki wake. Nchi hii inaweza kukutia kichaa kwa mambo yanayoendelea
Namshukuru sana Mungu kwa kuwa hakuna anayezikwa na utajiri wake. Wote wanauacha hapa duniani ukichezewa na watu wengine na wao wakiungua moto jehanum wakisubiri kuingia kwenye ziwa la moto.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
serikali zaifu ya ccm haiwezi kukusanya kodi wao kazi yao ni kujilimbikizia mimali na madaraka hakuna jingine
 
Inasikitisha sana, pia ni vigumu kuamini kama ni kweli. inauma sana. MUNGU TUNAOMBA UINGILIE KATI. HIVI NI KWELI HAWAJALIPA KODI? KWANINI YOTE HAYA? TUFANYE NINI HASA HILI MUNGU AWE UPANDE WA WATANZANIA HASA TULIO MAFUKARA. NAAMINI SIO KWELI LABDA WANALIPA NA TUNAFAIDIKA NA MADINI. KAMA NI KWELI HATUFAIDIKI JE GESI IKOJE?
 
nyerere aliwai sema serikali dhaifu aiwez kukusanya kodi kwa matajiri. itaishia kukimbizana na maskini na kuwabebesha mzigo raia
 
Jaji Mark Bomani aliongeza, hilo linasababishwa na udhaifu wa sheria ya madini. Bahati mbaya sana kwa sababu ya uchache wa wa wabunge wa upinzani, hoja zote zenye maslahi mapana ya Taifa zinanyongwa na wanyonyaji hawa ccm kwa kuitetea serikali yao dhalimu. Wanakuja na utetezi muflisi ooh, tukivunja mikataba tutashitakiwa na endapo tutashindwa kesi itakula kwetu. Well and good! Tunasema tuache kuingia mikataba mipya chini ya sheria zilizopo, ili mikataba tuliyoifunga ikiisha au ikifa ife na sheria yake, tutunge sera na sheria mpya kwa ajili ya mikataba mipya kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo, hawako tayari kwa sababu wanakuwa wameshawekana ssawa kwenye Party Caucas- maslahi ya Chama kwanza, ya Taifa majaliwa! Kwenye Bunge liloisha leo Mbunge Zungu aliainisha vizuri kwa kulinganisha mapato yatokanayo na biashara ya mawasiliano baina ya nchi wanachama wa Afrika Mashariki kwa mwaka 2010 ambapo KENYA walikusanya Dola Mmiloni 79, UGANDA Dola Milioni 31, RWANDA Dola Milioni 14, (watumiaji wa simu 30,000) TANZANIA yenye watumiaji simu 48,000 ilikusanya Dola Milioni 1.7 tu! Inauma sana. Cha ajabu wakati wabunge wengi tena wa CCM walipoongezeka kuibeba hoja, mwanzoni naibu Spika alionekana kushtushwa na kuahidi ufuatiliaji wa kina kwa Wizara inayohusika, lakini sijui alipitishiwa kimemo! ghafla mwishowe hoja aliichinjia baharini.
 
Namshukuru sana Mungu kwa kuwa hakuna anayezikwa na utajiri wake. Wote wanauacha hapa duniani ukichezewa na watu wengine na wao wakiungua moto jehanum wakisubiri kuingia kwenye ziwa la moto.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Pamoja na kwamba mtu hazikwi na utajiri lakini kwa kujilimbikizia mali kikundi cha watu ni hatari kwa ustawi wa jamii yetu ya Tanzania.Unajisikiaje unapoenda hospitali unakosa dawa tena kwenye hospitali ya rufaa?
 
Wakati ambao nasikia aibu kua mtanzania,jana nilikua nasoma wikipedia profile ya sabmiller hawa wamiliki wa tbl ambao nao wanasifiwa walipaji kodi wazuri kuna charity ngo moja ilitoa data juu ya ukwepaji wao wa corporate tax katika nchi 5 afrika tanzania ikiwemo!
 
Nchi imeoza kabisa..kama hawapati faida si waondoke
 
Namshukuru sana Mungu kwa kuwa hakuna anayezikwa na utajiri wake. Wote wanauacha hapa duniani ukichezewa na watu wengine na wao wakiungua moto jehanum wakisubiri kuingia kwenye ziwa la moto.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

kweli lakini bro
 
According to jaji bomani kampuni kubwa ya madini ya barrick gold inadai aijawai pata faida toka ianze kufanya shughuri za kuchimba madini apa Tanzania na ivyo aijawai kulipa corporate tax......wizi huu mpaka lini jamani?????are we that stupid???toka credit crunch in 2008 bei ya gold iko juu sana kiasi ata kampuni mbovu kabisa itaweza kutengeneza faida.kila mwaka tunaongeza ushuru vitu vile vile cie tupoje???kwanini tusizibe izi tax loopholes????????

Tuna stress na hasira za kutosha acha kutuongezea nyingine au unataka tupigwe ban? Kwani hujui hii nchi imejaa majuha ? na inaongozwa na Majuha?
 
Back
Top Bottom