henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,117
Mapinzani yanaaibika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji736]This one I support the Tz government, Those deals should be brought to the fore, all taxes cleared. That should be the bottom line.
Vitu vyote viijazavyo Tanzania ni MALI ya WATANZANIA.Ahaaa haaa haaa
Baada ya kudhibiti ARDHI yetu na KUMILIKI kwa kutumia SHERIA MADHUBUTI NA KUFANIKISHA our SLOGAN: OUR LAND OUR SOVEREIGNTY.
The same will come to Minerals. Our MINERALS OUR SOVEREIGNTY.
Qatar nao wamesema wanakuja kununua dhahabu yetu, ni moja kati ya agenda walizoongea na Rais walipokutana recently.
Hapo bado najiuliza Qater wanadai wametapeliwa dhahabu ya bilioni nane, Kenya wanasema hawajatapeli bali mzigo umezuiliwa sehemu Fulani mambo yakikaa sawa mzigo utaletwa. JPM kaupiga top mzigo wa bil nane na wale makota wako sero. Usijekuta huo mzigo mwarabu anaolilia ndo huo umepigwa top na JPM, kaka Magu usilegeze moto tumekaribia kuimaliza kitonga. Muda sio mrefu tutawaona waarabu wakishuka Geita kupakua mzigo.Qatar nao wamesema wanakuja kununua dhahabu yetu, ni moja kati ya agenda walizoongea na Rais walipokutana recently.
Yule Lissu ndo alikuwa nazingua tu wengine wala hawana shida, tangu anyamazishwe mambo yanaenda vizuri kwa kweli👏👏👏👏👏💪 Yaani kila uchwao Magufuli anazidi kuwavua nyumbu na vilaza wengine nguo just imagine ni less than a month tayari over 34 billion business imefanyika, case ya Chunya ndio haina hata 3 weeks lakini ndio imechangia vile vile pakubwa kwenye hiyo cash
Lakini wapinzani wa Tanzania walivyo na akili kisoda walimpinga sana Magufuli katika uanzishwaji wa masoko haya ya madini na kuyaponda mbaya kama walivyoponda ukuta wa mererani, saivi Tanzania ndio kiongozi wa uuzaji wa Tanzanite duniani tofauti na awali ambao ilikuwa ni US, SA, India, Kenya, Tanzania na Tanzanite imepanda thamani mara 2 huku ikiingiza pesa serikalini zaidi ya mara 10 ya awali.
Comment yako hii imenilaza unono.Hapo bado najiuliza Qater wanadai wametapeliwa dhahabu ya bilioni nane, Kenya wanasema hawajatapeli bali mzigo umezuiliwa sehemu Fulani mambo yakikaa sawa mzigo utaletwa. JPM kaupiga top mzigo wa bil nane na wale makota wako sero. Usijekuta huo mzigo mwarabu anaolilia ndo huo umepigwa top na JPM, kaka Magu usilegeze moto tumekaribia kuimaliza kitonga. Muda sio mrefu tutawaona waarabu wakishuka Geita kupakua mzigo.
Kuna siku nimemsikia JPM akisema kuna Rais anampigiaga simu hadi usiku, isijekuwa ndo hawa jamaa wanabembeleza mzigo wao utoke.Comment yako hii imenilaza unono.
Hili timbwili ya Mwarabu na Mkenya tutaliona mwisho wake.
Nadhani ni zile dhabu zilizo kamatwa kada ya ziwa. Tunasubiri matokea sasa. Hahaha!!
Kuna siku nimemsikia JPM akisema kuna Rais anampigiaga simu hadi usiku, isijekuwa ndo hawa jamaa wanabembeleza mzigo wao utoke.