Barrick Gold CEO terms Tanzania as high risk market

Barrick Gold CEO terms Tanzania as high risk market

Ahaaa haaa haaa
Baada ya kudhibiti ARDHI yetu na KUMILIKI kwa kutumia SHERIA MADHUBUTI NA KUFANIKISHA our SLOGAN: OUR LAND OUR SOVEREIGNTY.
The same will come to Minerals. Our MINERALS OUR SOVEREIGNTY.
 
Ahaaa haaa haaa
Baada ya kudhibiti ARDHI yetu na KUMILIKI kwa kutumia SHERIA MADHUBUTI NA KUFANIKISHA our SLOGAN: OUR LAND OUR SOVEREIGNTY.
The same will come to Minerals. Our MINERALS OUR SOVEREIGNTY.
Vitu vyote viijazavyo Tanzania ni MALI ya WATANZANIA.
Sisi tutapita na vizazi vitakuja Tanzania itadumu. Lazima tufanye maamuzi sahihi kwa vizazi na vizazi.
HEKO TANZANIA
 
Qatar nao wamesema wanakuja kununua dhahabu yetu, ni moja kati ya agenda walizoongea na Rais walipokutana recently.

Ahaaa haaa haaa
Yule aliyeibiwa si angekuja kwenye commodity market yetu ya gold. Hela YAKE isingeibiwa.
 
Ukitaka kununua gari kwa mtu lazima ulipondee kwanza ili alegeze bei, unaanza kusema kwanza lina kunywa mafuta, spea zake shida, rangi imechuchuka, limepitwa na fasheni. Mark Bristow kawaambia wanahisa wa acacia wamalizane kwa US$787m wao wanakomalia 1.2bn, sasa lazima awaambie kwanza kiwanja chenyewe kuna wachawi barabara hamna maji shida.
 
Qatar nao wamesema wanakuja kununua dhahabu yetu, ni moja kati ya agenda walizoongea na Rais walipokutana recently.
Hapo bado najiuliza Qater wanadai wametapeliwa dhahabu ya bilioni nane, Kenya wanasema hawajatapeli bali mzigo umezuiliwa sehemu Fulani mambo yakikaa sawa mzigo utaletwa. JPM kaupiga top mzigo wa bil nane na wale makota wako sero. Usijekuta huo mzigo mwarabu anaolilia ndo huo umepigwa top na JPM, kaka Magu usilegeze moto tumekaribia kuimaliza kitonga. Muda sio mrefu tutawaona waarabu wakishuka Geita kupakua mzigo.
 
👏👏👏👏👏💪 Yaani kila uchwao Magufuli anazidi kuwavua nyumbu na vilaza wengine nguo just imagine ni less than a month tayari over 34 billion business imefanyika, case ya Chunya ndio haina hata 3 weeks lakini ndio imechangia vile vile pakubwa kwenye hiyo cash

Lakini wapinzani wa Tanzania walivyo na akili kisoda walimpinga sana Magufuli katika uanzishwaji wa masoko haya ya madini na kuyaponda mbaya kama walivyoponda ukuta wa mererani, saivi Tanzania ndio kiongozi wa uuzaji wa Tanzanite duniani tofauti na awali ambao ilikuwa ni US, SA, India, Kenya, Tanzania na Tanzanite imepanda thamani mara 2 huku ikiingiza pesa serikalini zaidi ya mara 10 ya awali.
Yule Lissu ndo alikuwa nazingua tu wengine wala hawana shida, tangu anyamazishwe mambo yanaenda vizuri kwa kweli
 
Hapo bado najiuliza Qater wanadai wametapeliwa dhahabu ya bilioni nane, Kenya wanasema hawajatapeli bali mzigo umezuiliwa sehemu Fulani mambo yakikaa sawa mzigo utaletwa. JPM kaupiga top mzigo wa bil nane na wale makota wako sero. Usijekuta huo mzigo mwarabu anaolilia ndo huo umepigwa top na JPM, kaka Magu usilegeze moto tumekaribia kuimaliza kitonga. Muda sio mrefu tutawaona waarabu wakishuka Geita kupakua mzigo.
Comment yako hii imenilaza unono.
Hili timbwili ya Mwarabu na Mkenya tutaliona mwisho wake.

Nadhani ni zile dhabu zilizo kamatwa kada ya ziwa. Tunasubiri matokea sasa. Hahaha!!
 
Comment yako hii imenilaza unono.
Hili timbwili ya Mwarabu na Mkenya tutaliona mwisho wake.

Nadhani ni zile dhabu zilizo kamatwa kada ya ziwa. Tunasubiri matokea sasa. Hahaha!!
Kuna siku nimemsikia JPM akisema kuna Rais anampigiaga simu hadi usiku, isijekuwa ndo hawa jamaa wanabembeleza mzigo wao utoke.
 
Wamechelewa, huo mzigo uliokamatwa umeshakabidhiwa BOT.
Kuna siku nimemsikia JPM akisema kuna Rais anampigiaga simu hadi usiku, isijekuwa ndo hawa jamaa wanabembeleza mzigo wao utoke.
 
Back
Top Bottom