Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Haya ngoja tusubiri Pascal Mayalla mana ndo uzi wake unakuaga na nyama ya kutosha
Wameunga na huu hapaKwani huu uzi kauanzisha nani?
Acacia wamekubali kununuliwa na Acacia. Kwahiyo Acacia wamejinunua wenyewe?Hawa wana JF. Leo ndo ilikuwa ni siku amabyo Acacia walikubadikiana na Barrick juu ya offer waliotoa either kukubali au kukataa. Hatimaye leo Acacia wamekubali kununuliwa na Acacia
Mbona hii kaileta mwenyewe Pascal MayallaHaya ngoja tusubiri Pascal Mayalla mana ndo uzi wake unakuaga na nyama ya kutosha
Uzi tayari!Pascal Mayalla anasemaje? Mimi hadi nione uzi wake ndio nitaamini