Nimeona tumeungwa kutoka kule hadi kwenye uzi wa huuUzi tayari!
Nimeona tumeungwa kutoka kule hadi kwenye uzi wa huuUzi tayari!
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeee
Akina nani wa humu.. furahieni basi 😀
Paskali ninaomba nikuulize kitu, baada ya jambo hili, yale makinikia pale bandarini sasa ruksa kuondoka? Je, ni mali ya nani? Yetu, Acacia, au ya Barrick Gold?
Makinikia yanaondoka na hatupewi chochote tofauti na 'mtonyo'!
Mtonyo ni kiasi ambacho tunapewa kama watu wa karibu tu na kwasababu biashara imefanyikia machoni petu!
Yale matrilioni ya Kabudi ndio hakuna tena!
Mali ya BarrickPaskali ninaomba nikuulize kitu, baada ya jambo hili, yale makinikia pale bandarini sasa ruksa kuondoka? Je, ni mali ya nani? Yetu, Acacia, au ya Barrick Gold?
Mayala na Tundu Lisu walikuwa wakitetea Sana Acacia sisi wengine tulikuwa na Barrick toka day one na hatukuyumba kwenye Hilo.Tunashukuru kwa Barrick KU take over..Mkuu Naona Umekomaa Nao
Kwanza kuna mambo tukubaliane!
1. It was not a hostile take over.
2. Hakukuwa na PUSU.
Ni biashara ya kawaida kabisa ambapo Acacia angeweza kukataa na kupersue options nyingine!
Management, bord of directors wamehusishwa kutoka mwanzo mpaka mwisho.
Nini kilikufanya uwaaminishe watu kuwa ni hostile takeover na sijui ni PUSU!
Where did you get these things?
Tutapata mgawo au tunafurahia kiboya tu?Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeee
Akina nani wa humu.. furahieni basi 😀
Mzee wa makinikia nae anasemajeMzee wa MIGA Lisu anasemaje
Lissu naye ni binadamu, hivo kukosea ni KawaidaMzee wa MIGA Lisu anasemaje
Kiuhalisia ACASIA alijikuta na few optionsna hata kwenye statement yao wamesema. Alikuwa ametengenezewa mazingira magumua sana ya kisheria na kikanuni. Akiingia Barick hata hiyo issue ya uchafuzi wa mazingira itayeyuka kamakesi ya polisi wa Mwanza. Halafu sasa sijui kama wataenda kubadili ile sheria ya makampuni waliyotungiwa ACACIA.Tusubiri muda.
Mzee wa Acacia kwa jina lingineMzee wa MIGA Lisu anasemaje
Kumbuka wafuasi wake LISU NI MALAIKA kwa Tanzania hii.Lissu naye ni binadamu, hivo kukosea ni Kawaida
Lissu naye ni binadamu, hivo kukosea ni Kawaida
Mzee wa Acacia kwa jina lingine
Acha kupotosha kama hujui kalale
Bado yapo kweli wajanja hawajayafikisha yaendako? Kulikuwa pia na vichwa 15 mtumba vya treni viliishia wapi? Jitihada nyingi za Rais wetu zinaishia hewani licha ya kuungwa mkono na wazalendo.Paskali ninaomba nikuulize kitu, baada ya jambo hili, yale makinikia pale bandarini sasa ruksa kuondoka? Je, ni mali ya nani? Yetu, Acacia, au ya Barrick Gold?
Soko la hisa linamtambua vizuri hasa acha uongo .Nenda soko la hisa umwangalie Acacia yupo akiuza hisa kule solo linajua,TRA wanajua unaongea usichojua wewe Ndie mjingaaUelewa wenu ni wa mashaka.
Tulianza kwa kumdai Acacia, tukaja kudai hatumtambui, amefanya biashara mbele ya macho yetu ikiwa na maana hata makinikia tuliyokuwa tunashikilia ameuza huku tunayalinda! Na hatupewi hata hela ya ulinzi.
Nafuu tungeendelea kumtambua maana angehamishia deni letu kwa Barrick na labda tungelipwa polepole!
Hakuna cha deni hakuna cha nini na sisi tunasherehekea tumemkomoa mzungu aliyeuza mali yake kwa bei ya soko na kwa ujinga wetu hatupati hata kodi kutokana na hiyo biashara maana hatumtambui!