Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

Wanabodi,
Huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho leo, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
Taarifa kwa mujibu wa Financial times saa 3 zilizopita, ACACIA ashakubali kutolewa "mahari"

Kwa sasa ni rasmi Barick ameoa mke na liabilies zote za ACACIA zitakuwa zake na tunategemea move ya JPM akisaidiwa na Prof. Kabudi inakwenda ku-materialize soon kwa kuvuta kishika "uchumba" ikiandamana na financial benefits/economic benefits zingine as per mazungumzo ya wakati ulee
 
800x-1.jpg



Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita, Acacia Mining Plc imepata mahusiano ya kuzorota na mbia wake mkuu, Barrick Gold Corp na serikali ya Tanzania. Sasa, moja ya vita hivi imepata truce.

Katika tangazo la Ijumaa, makampuni hayo mawili walisema walifikia mpango wa Barrick kununua hisa ya asilimia 36 ya Acacia ambayo haijawahi kumiliki. Barrick alipendeza kutoa kwake kushinda juu ya wanahisa wa Acacia, ambao baadhi yao walikuwa wamekataa zabuni ya awali kama ya chini sana. Mpangilio mpya una thamani ya asilimia 232 kwa hisa ya Acacia, premium ya 24% kwa bei ya kufunga Alhamisi.

"Kutokana na hali zote, hii ni uwezekano wa matokeo bora," Afisa Mkuu Mtendaji wa Acacia Peter Geleta alisema kwa simu.

Mkataba huo unatoa njia kwa Barrick kujadiliana na Tanzania kwa matumaini ya kutatua vita vya umma ambavyo vilikuwa vimefanya shughuli za Acacia nchini, ambapo huendesha migodi ya dhahabu tatu. Acacia matumaini mazungumzo yatasaidia kuunda "ushirikiano mpya" na serikali ya Tanzania, Geleta alisema.

Sehemu za Acacia ziliunganishwa hadi asilimia 20 hadi Ijumaa na zinafanywa kwa pesa 222.2 saa 9:41 mjini London. Kabla ya leo, hisa zimepata 1.8% mwaka huu.

Mpango wa mafanikio unakaribia suala la karibu la miaka kumi na moja ya maisha ya Acacia kama mfanyakazi wa umma, baada ya kitengo hicho kilichopatikana mwaka 2010 kama Afrika ya Barrick Gold. Tangu wakati huo, imezuia changamoto za kuingilia kati kwa makundi ya uhalifu, kwa uvamizi na mamia ya wahusika wenye silaha na nyundo na mabadiliko ya kodi ya madini.

Changamoto yake kubwa ilitokea miaka miwili iliyopita, wakati Tanzania ilipiga marufuku nje ya nje kwa vitengo viwili vya Acacia na kumpa mtoaji muswada wa kodi ya dola 190 bilioni. Tangu wakati huo, msimamo wa kampuni katika nchi umeshuka zaidi, na serikali itasema mwezi Mei haitaruhusu Acacia kusimamia migodi yake nchini na itafanya kazi na Barrick tu.

Wiki hii tu, Tanzania iliamuru Acacia kuacha kutumia kituo cha kuhifadhi taka katika mgodi wake wa dhahabu kuu, ambayo inaweza kuharibu uzalishaji.
Kutoa

Wawekezaji wa Acacia watapata hisa mpya za Barrick 0.168 kwa kila mmoja uliofanyika vs pendekezo la awali la Barrick la 0.153.
Jumla ya thamani ya mpango ni karibu £ 343,000,000 ($ 430,000,000).
Wanahisa wadogo watakuwa na haki ya mgawanyiko maalum kutoka kwa uuzaji wa mali za utafutaji wa Acacia.
Bodi ya Acacia itapendekeza kutoa. Pia inahitaji idhini kutoka kwa 75% ya wanahisa wachache.
Uchaguzi unatarajiwa kufanyika miezi miwili. Ikiwa imeidhinishwa, mpango huo unaweza kukamilika katika robo ya nne na Acacia itaharibiwa.

Mgogoro huo na Tanzania umekuwa na athari mbaya ya biashara ya Acacia - kulazimisha kampuni ili kuhifadhi pato na kuondokana na uzalishaji - na hisa zake zilishuka 50% tangu mwanzo wa 2017 kabla ya tangazo la Alhamisi.

Mpango wa juu unaonyesha kwamba Afisa Mkuu wa Barrick Mark Bristow alilazimika kugeuza msimamo wake kwamba hawezi kuongeza jitihada. Katika mahojiano na Bloomberg News mwezi Juni, Mkurugenzi Mtendaji alisema hakuwa na nia ya kuinua kutoa. Lakini alikabili shinikizo la wanahisa katika miezi ya hivi karibuni, na Odey Asset Management kupinga thamani.

Barrick amesababisha majadiliano na serikali kwa jitihada za kutatua mgogoro huo na Tanzania, wakati Acacia iliendelea mbele tofauti na kesi za usuluhishi.

Katika mkutano wa 2017 kati ya Rais John Magufuli na Mwenyekiti wa Utendaji wa Barrick John Thornton, ilikubaliana kwa hakika kwamba Acacia angelipa dola milioni 300 kwa serikali kutatua madai ya kodi na itagawanya mapato ya baadaye kutokana na shughuli na nchi. Wakati huo, Acacia alikosoa hoja hiyo na akasema Barrick kwa uhusiano wake mbaya na Tanzania baada ya Thornton kuchukua mazungumzo.

 
Wanabodi,
Huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho leo, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
Pascal Mayalla,
Tuweke mambo sawa katika sakata hili
A
Acacia ndiye amenufaika zaidi- alikataa bei ndogo 193 amepata 232 (232-193= 39)
Acacia pia anaondoka salama.
B
Tanzania tumefaidika kwa kuweza kuonyesha utaifa (sovereignty) wetu na kuwa sisi siyo shamba la bibi;
C
Barrick anapata hasara kwa sababu sasa itabidi atafute zile 300 alizotuaidi atulipe
 
Pascal,
Unaweza kutusaidia kufahamu kama Noah zetu tutazipata ama la..!

BARRICK kumnunua ACCACIA sie Wadanganyika tunafaidika na nini?

Huku mtaani wanaulizia Balimi na Noah zao.
THE OFFER
  • Acacia investors will get 0.168 new Barrick shares for each one held vs the initial Barrick proposal of 0.153.
  • Total deal value is about 343 million pounds ($430 million).
  • Minority shareholders will be entitled to special dividends from the sale of Acacia exploration properties.
  • Acacia’s board will recommend the offer. It also needs approval from 75% of minority shareholders.
  • The vote is expected to take place in two months. If approved, the deal may be completed in the fourth quarter and Acacia will be delisted.
 
Kwanini waongeze dau baada ya ACCACIA kuwagomea kwa muda mrefu valuation yao, halafu wakubali in the end.

I still think makubaliano ya Kabudi yalikuwa ya ovyo, serikari isipojifunza namna ya ku-leak hii mikataba itakuwa inapigwa kila siku.

Just logic mtu awezi kuwa anakupa data za migodi hivi hivi adharani lazima alikuwa anajaribu kukwambia kitu.
Baada ya migodi kufungwa na Nemc kwa uchafuzi mazingira Acacia wakajua value za share zao zitaporomoka chini mno wakaona wawahi wakubali dili haraka haraka.Si unajua wenzetu walivyo wakali kwa wachafuzi wa mazingira.Wakajua wakifungiwa ikiitishwa valuation report ya pili watauza Bei ya karibu na bure
 
Wanabodi,
Huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho leo, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
Kwa wale [tena wasomi]ambao walikuwa wanaponda,wanatutisha na wale ambao walikuwa wanatuambia kuwa SMT itashtakiwa kwenye mahakama za kimataifa na kupigwa faini kubwa n.k. Sijui wanajisikiaje? Aibu tupu.
'Mtu mzima akivukwa na nguo, huchutama'
 
Nalikasenza ngoko gete bahebu,ndoho tabu,this is great news kupewa asilimia 16 ya umiliki halafu kugawana faida nusu kwa nusu,sio mchezo,hata kuwasamehe hiyo bilion 190 usd poa tu,wenye wivu wajinyonge,kama wanyonge wa kamnyonge
Elungata nimekuwekea kifungu cha sheria ya madini ya 2010 kinachoelekeza kwenye kila mgodi unafunguliwa serikali inapata hisa 16 % bila kuwekeza chochote
Development agreement 10.-(1) The Minister may, on behalf of the United Republic and subject to subsection (3), enter into a development agreement, not inconsistent with this Act, with the holder of, or an applicant for, a mineral rights for which he is the licensing authority relating to the grant of such a mineral right or mineral rights, the conduct of mining operations under a special mining licence the grant of the Government free carried interest and State participation in mining, and the financing of any mining operations under a special mining licence. (2) The level of free carried interest and State participation in any mining operations under a special mining licence shall be negotiated upon between the Government and a mineral rights holder depending on the type of minerals and the level of investment. (3) The Minister shall not enter into a development agreement under subsection (1) if- (a) the capital expenditure of establishing a mining operations within the special mining area which is subject for the intended development agreement is below one hundred million United States Dollars or its equivalent in any convertible currencies; and
 
Baada ya migodi kufungwa na Nemc kwa uchafuzi mazingira Acacia wakajua value za share zao zitaporomoka chini mno wakaona wawahi wakubali dili haraka haraka.Si unajua wenzetu walivyo wakali kwa wachafuzi wa mazingira.Wakajua wakifungiwa ikiitishwa valuation report ya pili watauza Bei ya karibu na bure
NEMC ilichofanya ni kama visa vya mwenye nyumba kwa mpangaji mwenye mkataba akita kumuamisha kwa lazima kabla ya muda wake.

Ni pressure tactic ukibaki hapa tutakutia hasara kila siku na kukusumbua, ukizingatia management sio wenye mali lazima shareholders wote wakubali yaishe tu maana wao ndio wwenye maslahi mapana sio management ya ACCACIA iliyokuwa inaleta ukaidi tu.
 
Nyie watu mnazugwa sana! Mwambieni huyo mwendawazimu aweke mikataba yote ya rasilimali za nchi hadharani muone unafiki wake. Watu wanavuna dhahabu ya nchi in $$$ billions kupata $300 millions imekuwa nongwa!

Kweli upumbavu ni KIPAJI! We still have a long way to go.

Ngoja nikusaidie kutaja maana naona unapatwa na kigugumizi.
Sky Eclat
BAK
.........
 
Nalikasenza ngoko gete bahebu,ndoho tabu,this is great news kupewa asilimia 16 ya umiliki halafu kugawana faida nusu kwa nusu,sio mchezo,hata kuwasamehe hiyo bilion 190 usd poa tu,wenye wivu wajinyonge,kama wanyonge wa kamnyonge
Kuna mburu kenge humu hili hawalioni la share ya 16% na kugawana faida nusu kwa nusu.
 
Back
Top Bottom