Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

THE OFFER
  • Acacia investors will get 0.168 new Barrick shares for each one held vs the initial Barrick proposal of 0.153.
  • Total deal value is about 343 million pounds ($430 million).
  • Minority shareholders will be entitled to special dividends from the sale of Acacia exploration properties.
  • Acacia’s board will recommend the offer. It also needs approval from 75% of minority shareholders.
  • The vote is expected to take place in two months. If approved, the deal may be completed in the fourth quarter and Acacia will be delisted.
Haya majamaa kwa kuremba ni noma ,kota ya mwisho ni mwezi wa tisa,baada ya 75% ya share holders kukubali du!
Au kiingereza kinanipiga chenga?
 
Nyie watu mnazugwa sana! Mwambieni huyo mwendawazimu aweke mikataba yote ya rasilimali za nchi hadharani muone unafiki wake. Watu wanavuna dhahabu ya nchi in $$$ billions kupata $300 millions imekuwa nongwa!

Kweli upumbavu ni KIPAJI! We still have a long way to go.
We zwazwa najua hukutaka hata hicho kidogo tupate,ulihitaji tushtakiwe na kukosa kila kitu,bwege wewe,baba yako na mama yako
 
Mheshimiwa Pascal, tunakushukuru sana kwa uzalendo wako, umekuwa unatupasha maendeleo ya hili sakata la Acacia.

Kwa kila mtanzania hii ndio habari moja kubwa yenye manufa kwa kila mtanzania na popote alipo, kutokea hivi karibuni.

Thanks Brother, you are a true Nationalist
 
Nyie watu mnazugwa sana! Mwambieni huyo mwendawazimu aweke mikataba yote ya rasilimali za nchi hadharani muone unafiki wake. Watu wanavuna dhahabu ya nchi in $$$ billions kupata $300 millions imekuwa nongwa!

Kweli upumbavu ni KIPAJI! We still have a long way to go.
Nafikiri upumbavu wako una kiwango cha PHD. Yaliyo pita si ndwele tunaganga yajayo. Nikukumbushe kwamba saa hizi tutakuwa tuna gawana faida 50/50 pia tutakuwa na hisa 16%.

Sawa tutapoteza hizo billions lakini manufaa ya baadae ni Mazuri. Use your brain
 
"Fursakibao, matusi ya nini mkuu- tumepata inatosha
 
Nalikasenza ngoko gete bahebu,ndoho tabu,this is great news kupewa asilimia 16 ya umiliki halafu kugawana faida nusu kwa nusu,sio mchezo,hata kuwasamehe hiyo bilion 190 usd poa tu,wenye wivu wajinyonge,kama wanyonge wa kamnyonge
Gete namhala
 
Unaganga yajayo yepi taahira wewe!? 😳😳ripoti ya CAG Assad imejaa wizi na ubadhirifu wa kutisha in trillions uliofanywa na huyo nduli 2017/2018. Bunge limekaa miezi mitatu bila kuijadili ripoti hiyo na mpumbavu wewe unadai mnaganga yajayo hahahahaha Taifa linaloongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wapumbavu duniani bila ya shaka ni Tanzania.

Nafikiri upumbavu wako una kiwango cha PHD. Yaliyo pita si ndwele tunaganga yajayo. Nikukumbushe kwamba saa hizi tutakuwa tuna gawana faida 50/50 pia tutakuwa na hisa 16%.

Sawa tutapoteza hizo billions lakini manufaa ya baadae ni Mazuri. Use your brain
 
Offer yao ya kwanza ilikuwa 193 pence per share ila sasa barrick wamekubali kulipa 241 pence per share, so hongera kwa acacia kwa kupata hela waliyotaka! Pia hongera kwa tz kwa kufunga north mara mine kwa sababu ya mazingira! Pia hongera kwa barrick kwa kuichukua acacia jumla! Haikuwa hostile take over hii ni win win kwa barrick na acacia! Upande wetu wa tz ni win kwa sababu bora usd million 300 kuliko usd billions 190 hewa! So hakuna noah ila mapato yataongezeka!
 
Toa ushoga wako dunya wewe! Situmii mie peleka kwingine. 2.4 trillions zimekwapuliwa na huyo nduli mwaka jana tu, mwaka jana pia kakwapua $495 millions hukuandika chochote kuhusu ukwapuzi huo leo unashangilia kupata $300 millions!? Una akili sawa kweli wewe kamongo!? Elimu Elimu Elimu

We zwazwa najua hukutaka hata hicho kidogo tupate,ulihitaji tushtakiwe na kukosa kila kitu,bwege wewe,baba yako na mama yako
 
THE OFFER
  • Acacia investors will get 0.168 new Barrick shares for each one held vs the initial Barrick proposal of 0.153.
  • Total deal value is about 343 million pounds ($430 million).
  • Minority shareholders will be entitled to special dividends from the sale of Acacia exploration properties.
  • Acacia’s board will recommend the offer. It also needs approval from 75% of minority shareholders.
  • The vote is expected to take place in two months. If approved, the deal may be completed in the fourth quarter and Acacia will be delisted.
Game inaelekea kwisha baada ya bodi ya Acacia kuridhika na nyongeza iliwekwa na Barick. Yaliobaki watamalizana wenyewe ndani kwa ndani ambapo 75% ya wanahisa wadogo wa Acacia wanatakiwa wakubali hiyo offer.

Je kwetu ndio tumeondokana na Acacia? Ndani ya Acacia naamini Barrick as majority shareholders walikuwa na watu wao hivyo wao Barick walijua kila kinacho endelea ndani ya Acacia. Issue yao ilikuwa wale minority shareholders watatokaje bahati sheria za kwao zinawalinda hao minority shaholders ndio maana acacia iliivimbia Barick hadi Barick ikaongoza mtonyo.
Barick kwa kuwa na hisa nyingi Acacia nao hawakutaka kupoteza kile wanachopata kutoka Tanzania hivyo kwanza wakaingia mazungumzo na Tanzania na mtonyo ule ukaanguka toka $190B tu $300M. Na hii itabidi Barick wailipe kwani bodi ya Acacia haikupitisha hili.
In return sasa GTZ itfanya kazi na Barick ile ile ya mwanzo au kutakuwa na mtoto mwingine? Barick amecheza na akili zetu na GTZ imecheza na akili za Barick, umakini wetu ndio utakao tuokoa vinginevyo Barick wataendelea kutufanyia mbaya.
Kuhusu Lissu naamini yeye alitoa ushauri wa kisheria na report ile aliyo iita professorial rubbish sijui iliishia wapi na tujiulize Barick waliwezaje kushusha bili toka $190B to $300M. Ukilitafakari hili huenda Lissu alijua anachosema.
 
Wanabodi,
Huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho leo, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
Ushindi wa pili. Airtel je? Nayo tulishinda. Tatizo ni ........... Wasiojulikana BASIII
 
Wenye roho mbaya wakisikia habari Kama hizi wanaumia Sana Hadi wanatamani kunywa sumu!wapinzani wa siku hizi sio wa kupambana na maovu au mabaya tena bali wanakesha kuombea yatupate ili wapaze sauti kushangilia wakiamini kuwa wanamkomoa JPM.wapuuuzi kweli kweli
 
Hivi lissu hayumo humu jf?
Mimi namhurumia tu mzee wa MIGA, kama ni kweli Acacia wamesalimu amri basi Lissu atakuwa ni mwanasheria wa hovyo kabisa kuwahi kutokea nchini maana alituaminisha kwa mbwembwe nyingi ya kwamba tutashitakiwa na kulipa mapesa mengi. Hongera Kabudi kwa kazi nzuri ya kutetea masilahi ya nchi.
 
jamani msisahau ule mchanga una madini meengi kwelikweli,rejea ripoti za propesa mruma na mwenzake simkumbuki jina,mle kuna tani mia kadhaa za dhahabu kwenye mankontena,angalau sasa waruhusu haya makontena tuyagawane wananchi ili kila mtu afaidi matunda ya uhuru
 
Mimi namhurumia tu mzee wa MIGA, kama ni kweli Acacia wamesalimu amri basi Lissu atakuwa ni mwanasheria wa hovyo kabisa kuwahi kutokea nchini maana alituaminisha kwa mbwembwe nyingi ya kwamba tutashikiwa na kulipa mapesa mengi. Hongera Kabudi kwa kazi nzuri ya kutetea masilahi ya nchi.
Kichwa kikitawaliwa na siasa unakuwa mpumbavu katika kila jambo.
 
Wanabodi,
Huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho leo, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
WAMEKUWA KHAMISI LUANGA WA KIGAMBONI
HOPE AWAJAWACHOMA MOTO
 
WALiSEMA NOAH KILA MTANZANIA NKAENDA LIPIA CAR WASH MWAKA MZIMA NAONA MAPICHAPICHA TU

NAHISI HATA YULE MWENYEKITI SIJUI. KAMA ANA KALE KACHEO ALICHOPEEWA SWABAHANA MJALIE

Back
Top Bottom