Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

Mkuu Pascal Mayalla, naomba nikuulize maswali kadhaa ya ufahamu. Mosi, Serikali ya Tanzania inamdai nani kati ya Barrick na Acacia? Kama ni Acacia, huoni kuwa kuondoka kwa Acacia ni kufifia kwa deni letu? Will Barrick take over all rights, obligations and liabilities of Acacia or they just buy it? Acacia si mwanahisa wa Barrick? Tafadhali fikiri na unipatie majibu ya maswali hayo
 
Mkuu Pascal Mayalla, naomba nikuulize maswali kadhaa ya ufahamu. Mosi, Serikali ya Tanzania inamdai nani kati ya Barrick na Acacia? Kama ni Acacia, huoni kuwa kuondoka kwa Acacia ni kufifia kwa deni letu? Will Barrick take over all rights, obligations and liabilities of Acacia or they just buy it? Acacia si mwanahisa wa Barrick? Tafadhali fikiri na unipatie majibu ya maswali hayo
maswali mazuri
 
Mkuu Pascal Mayalla, naomba nikuulize maswali kadhaa ya ufahamu. Mosi, Serikali ya Tanzania inamdai nani kati ya Barrick na Acacia? Kama ni Acacia, huoni kuwa kuondoka kwa Acacia ni kufifia kwa deni letu? Will Barrick take over all rights, obligations and liabilities of Acacia or they just buy it? Acacia si mwanahisa wa Barrick? Tafadhali fikiri na unipatie majibu ya maswali hayo
Jambo kubwa ni kuwa Acacia imekufa, swali lako linakuja baadaye. Usisahau Tanzania ilikuwa inafanya mazungumzo na Barrick na Barrick ndiyo walikubali kutoa kishika uchumba
 
Yaani nchi nzima imesimama tukisubiria na kuongelea kampuni moja iinunue nyingine (tena kampuni mama inamnunua mtoto wake). Tanzania bado saaana.

Haya mambo yalitakiwa yaishie kama footnote ya kwenye kurasa za biashara siyo kuwa headline!

Maybe I am missing something.
 
Siwezi kuamini jinsi Tundu Lissu anavyofura maana kaangukia pua. Wapi Salary Slip Quinine Erythrocyte na vibaraka wenzao akina Sky Eclat nk
Nyie wajinga wa kweli!!Kwahiyo huo ndio ushindi au kushindwa!!

Hao wote ni wanufaika wa madini yetu kupitia majina tofauti tofauti ila wajinga hamuelewi.Subiri hivyo vihela kiduchu mtakachopewa na yale makontena myaachie.

Wajinga ndio waliwao.
 
Kwanini waongeze dau baada ya ACCACIA kuwagomea kwa muda mrefu valuation yao, halafu wakubali in the end.

I still think makubaliano ya Kabudi yalikuwa ya ovyo, serikari isipojifunza namna ya ku-leak hii mikataba itakuwa inapigwa kila siku.

Just logic mtu awezi kuwa anakupa data za migodi hivi hivi adharani lazima alikuwa anajaribu kukwambia kitu.
 
Wanabodi,
Huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho leo, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
Safii mkuu naona wewe la kina Nape halikuhusu umejikita kwenye kututaarifu hili la msingi, kama itakua hivyo Basi mororo.
 
Source ya habari tafadhali?
Barrick and Acacia Reach Buyout Deal, Ending Long Standoff ...

https://www.bloomberg.com/news/.../barrick-gold-reaches-agreement-to-buy-out-acac...

4 hours ago - For the past two years, Acacia Mining Plc has faced deteriorating ... In an interview with Bloomberg News in June, the CEO said he had no ...
Barrick Gold strikes pact to buy Acacia Mining | Financial Times

https://www.ft.com/content/4098a96a-a9ec-11e9-b6ee-3cdf3174eb89

4 hours ago - Barrick Gold has bowed to pressure from minority shareholders and increased its buyout offer for Acacia Mining. The Canadian miner is now ...
Acacia finally agrees to increased buyout offer from Barrick - The Citizen

https://www.thecitizen.co.tz › News

1 hour ago - Barrick's buyout proposal for Acacia follows two years of wrangling over a $190 billion tax bill with the government of Tanzania. Barrick first made an offer for Acacia shares that it did not. ... Tenders. The Citizen · News ...
Barrick Comments on Proposed Framework for Acacia ... - Barrick Gold

https://www.barrick.com/investors/news/news.../Barrick...Acacia...in.../default.aspx

... Meeting · Analyst Center · Merger Tax Information · Careers · News. Menu. Spanish .... Press Release. Response to Acacia's announcement · Read more ...
ACACIA

https://www.acaciamining.com/

1/4. OUR LASTING LEGACY · Possible Offer. Documents/Information related to the possible offer to acquire. Acacia Mining plc by. Barrick Gold Corporation.


Press Releases – ACACIA

https://www.acaciamining.com/media/press-releases.aspx

Release of Competent Persons' Report and Acacia Agrees to Barrick's Request for ... from BarrickRegarding the Situation in Tanzania and Acacia's Mine Plans.

Barrick Gold and Acacia Mining reach consensus on acquisition offer

https://www.miningreview.com/.../barrick-gold-and-acacia-mining-reach-consensus-o...

2 mins ago - Barrick and Acacia have reached agreement on terms of a ... of Acacia. Want to stay up to date with the latest news from Africa's leading mining ...
Barrick said to prefer resuming control of Acacia - Mining Journal

https://www.mining-journal.com/...news/news/.../barrick-said-to-prefer-resuming-cont...

Acacia senior manager charged as long-running dispute with Tanzania continues. ... Barrick Gold (TSX: ABX) is said to be in favour of resuming control of its African spin-out after its planned merger ... Gold And Silver > Gold-and-silver-news.
Miner Acacia agrees to increased buyout offer from Barrick | Euronews

https://www.euronews.com › News › Business

2 hours ago - (Reuters) – Barrick Gold Corp has agreed to buy out fellow ... euronews provides breaking news articles from reuters as a service to its readers, ...
 
Back
Top Bottom