Barua" fupi" kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli

Barua" fupi" kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli

Unaakili TIMAMU KWELI???

njaa mbaya sana hasa ikihama sehemu yake ya Asili ikihamia kichwani.

Mutungi= Tungi.
 
Safi sana ni vizuri Mzalendo JPM akapewa moyo namna hii, umefanya vyema sana kama unavyoona mawakala wa shetani ni wengi na hawapendi kuona nchi inasonga mbele.

Tumsupport Rais wetu.

Viva JPM

Wezi wa kura na wamwaga damu.
 
Huyu jamaa hana tofauti na Lugola na Kesy
Kweli kabisa,yale majamaa ni full kuchumia tumboni,kila muda ni kusifu tu,hata km kuna shida.Lkn wameumbuka maana pamoja na kujipendekeza kote Lugola alipigwa chini,Kesi naye wananchi hawakumpa ridhaa ya kurudi bungeni.
 
Walifanya kufuru kwa kumfananisha binadamu na yesu kisa njaaa
 
Unakumbuka lugola alivyokuwa anakata mauno mbele ya watumishi walio chini ya wizara aliyo kuwa anaiongoza kisa kumfurahisha mteuzi wake?
Yaani dah!!!!,Mtu mzima Kama yule kujipendekeza kwa mkubwa wako kiasi kile ni aibu Sana.Njaa Ni mbaya Sana.
 
Back
Top Bottom