Barua fupi ya wazi kwa Diamond Platinum

stupid, kama yeye alimtupa??

unajua mateso ya watoto bila baba?
mimi mwenyewe nimekuwa bila baba nimemwona baada ya miaka mingi nikiwa form six tambaza, nilikuwa na hasira nae lakini kila nikukumbuka mungu kasema forgive and forget NIMEMSAMEHE hata mungu anajua. Niko nje ya nchi kila mwaka naenda bongo, naenda kumsalimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…