mimi mwenyewe nimekuwa bila baba nimemwona baada ya miaka mingi nikiwa form six tambaza, nilikuwa na hasira nae lakini kila nikukumbuka mungu kasema forgive and forget NIMEMSAMEHE hata mungu anajua. Niko nje ya nchi kila mwaka naenda bongo, naenda kumsalimia.stupid, kama yeye alimtupa??
unajua mateso ya watoto bila baba?