Barua iliyowasilishwa Ubalozi wa Vatican na kundi la 'Wakatoliki' imevuja

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Charles Kitima.

Kwa Padri Kitima, waumini wanadai amejihusisha na siasa kwa upendeleo, kusababisha mgawanyiko ndani ya Kanisa, na kushindwa kulinda umoja na uaminifu wa waumini kinyume na Sheria za Kanisa.

Dhidi ya Askofu Ruwa’ichi, wanadai matumizi ya lugha ya kudhalilisha hadharani, kuwaaibisha waumini kutoka madhabahuni, na kukiuka Canon Law pamoja na mafundisho ya Kanisa kuhusu heshima, upole na ulinzi wa waumini.

Waumini wanamuomba Papa achunguze madai hayo na kuchukua hatua stahiki kulinda heshima ya waumini, umoja na uaminifu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, wakisisitiza kuwa hatua yao ni ya kikanisa na si uasi.
-635162568.jpg

-1560966124.jpg
 
Mbona hawajasema wao ni wakatoliki wa jumiya ipi? Kigango kipi? Paroko na Askofu wao ni nani?

Wamethibitisha wao ni malofa mwendokasi

Sasa Lucy Michael na mwenzake itabidi wathibitishe ubatizo wao na utoaji wao wa zaka kila mwaka ili kuthibitisha kweli wao ni wakatoliki.

Mbona wamejipa kazi kubwa sana hawa malofa?
 
Director wa hii bongo movie, arudishe pesa za watu.
Haya ni matokeo ya kazi iliyofanya na mtu mwenye akili ndogo mnooooo

Usishangae aliofanya ujinga huu, akaja akapewa ukuu wa mkoa, kesho kutwa ubunge, akawa waziri.
Sasa kwa akili mbovu kama hii, mchezo mdogo kama huu umemshinda mnategemea tanzania kuendelea kweli, ndio matokeo yake miaka nenda rudi hadi mashimo ya choo ni kwa msaada tola mataifa mengine,
Sababu kuu tunaongozwa na vilaza akili yao ni kuiba tu na kutanua, bila kupiga hesabu za kina hawa tunaowaibia ili tuwaibie vizuri lazima tule na vipofu.
 
Nimepata namba ya LUCY
 
Master plan wa hii kitu ni zero brainer kabsa
 
Mbona hawajasema wao ni wakatoliki wa jumiya ipi? Kigango kipi? Paroko na Askofu wao ni nani?

Wamethibitisha wao ni malofa mwendokasi

Sasa Lucy Michael na mwenzake itabidi wathibitishe ubatizo wao na utoaji wao wa zaka kila mwaka ili kuthibitisha kweli wao ni wakatoliki.

Mbona wamejipa kazi kubwa sana hawa malofa?
Samia anadhani hili kanisa ni kama yale ya kina mwamposa.

Tatizo la kutokusoma,mnakuwa na rais asiye na uelewa hata kidogo,angepata walau D ya history asingefanya huu ujinga wa kupambana na Roman,maana roman Catholic ni kubwa kuliko tanganyika ,kanisa lipo kwa zaidi ya miaka 2000 wakati Tanganyika hata miaka 200 haijafikisha.

Poor Samia
 
Back
Top Bottom