Barua iliyowasilishwa Ubalozi wa Vatican na kundi la 'Wakatoliki' imevuja

Master plan wa hii kitu ni zero brainer kabsa
Master plan zero, aliemuamini master plan nae zero pia..
Nchi ina mazero zero wengi sana, we tizama vitendo vya viongozi wetu tu, ndio utajua tuna vilaza wengi kiasi gani.
 
Ukichunguza kwa jicho la ndani hii barua imeandikwa na Ludovick wakisaidiana na waziri mkuu haramu Madelu
 
Kwa Akili hizi hatuwezi kupata maendeleo nchi hii
 
Stuxnet njoo ujibu hapa hii barua yako kuna maswali unaulizwa.

Mkuu Kinyungu kwa namna ile Lucy "Michaelii" alivyokua anaongea kuwa wanamshtaki askofu "Luwacha" unaamini hata anaweza kuprompt barua kama hii ijidraft katika AI tools zozote?.
 
Achaga kudhalilisha Wakatoliki wewe. Hao sio wakatoliki ni wapumbavu wa bakwata, tiss na uvccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…