(nimeishi london for three years)nilimlenga mtoa mada kwa kusupport point yako.nadhani huna time nao,same applies to me.
Mkuu umenifanya nicheke...jf raha sana
Hahahah duh watu mna maneno hatari
Hadithi hii inatufundisha nini..?
..si wa tandale kwa tumbo je ni sheedeeeeeeeeer!(nimeishi london for three years)
As student or , so what ? sio lazima ikutokee . Fikiria kila mtu akitoa ushahidi wa alipookaa itakuwaje ? hata kwetu ukerewe ni sheeda .
yuko london anabeba box
Na wewe kumbe una majungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua Ebola Maana inafahamika kuliko waosasa celebrity hapo ni nani, wewe?, rafiki yako au ebola?
Grand PA
Hahah unajua kuchekesha mkuu...nadhani celebrity ni Ebola maana inajulikana world widesasa celebrity hapo ni nani, wewe?, rafiki yako au ebola?
Grand PA
Kuchamba kwingi kutoka na m@viHadithi hii inatufundisha nini..?
Muombe huyo mzungu radhi ili uwe salama Wewe ndo mbaguzi, kwa nini uhisi kubaguliwa, wakati yeye kasema ukweli? umepeleka maradhi pale na hamfanani kwani uongo?
Waafrika ni wabaguzi sana kuliko hata hao wazungu,
Mzungu anafanya ubaguzi ndivo, sababu Blacks ndiyo mlivyo kwa sababu zifuatazo;
Mlizibagua mila na desturi zenu mkapenda za kwao. mkakumbatia dini za uongo
Mliuza ndugu zenu utumwani bila huruma, tena kwa unyama, mpaka yeye mwenyewe akaona aibu akakataa.
Mpaka leo mnawauza mna waua bila huruma, kiuchawi. kiuchumi, kisakologia
Ubaguzi wa kichoyo wa kutoa michango yenu ktk Dunia ya leo, mfano mwanamalundi kafa na technolojia yake.
Nyie ni wajinga mnapenda majina yao, Na sifa za kijinga , lugha yao, vyakula vyao, nguo zao, kwa nini ulimuangalia machoni wakati unaongea na huyo mtu wenu? Ulisha jidharau yeye akamalizia.
Unatukoga eti east Rondon, habari za huko nyumbani, Angalia sasa mimi niko Sydney lkn utadhani niko kariakoo au mkoani.
You nailed itMuombe huyo mzungu radhi ili uwe salama Wewe ndo mbaguzi, kwa nini uhisi kubaguliwa, wakati yeye kasema ukweli? umepeleka maradhi pale na hamfanani kwani uongo?
Waafrika ni wabaguzi sana kuliko hata hao wazungu,
Mzungu anafanya ubaguzi ndivo, sababu Blacks ndiyo mlivyo kwa sababu zifuatazo;
Mlizibagua mila na desturi zenu mkapenda za kwao. mkakumbatia dini za uongo
Mliuza ndugu zenu utumwani bila huruma, tena kwa unyama, mpaka yeye mwenyewe akaona aibu akakataa.
Mpaka leo mnawauza mna waua bila huruma, kiuchawi. kiuchumi, kisakologia
Ubaguzi wa kichoyo wa kutoa michango yenu ktk Dunia ya leo, mfano mwanamalundi kafa na technolojia yake.
Nyie ni wajinga mnapenda majina yao, Na sifa za kijinga , lugha yao, vyakula vyao, nguo zao, kwa nini ulimuangalia machoni wakati unaongea na huyo mtu wenu? Ulisha jidharau yeye akamalizia.
Unatukoga eti east Rondon, habari za huko nyumbani, Angalia sasa mimi niko Sydney lkn utadhani niko kariakoo au mkoani.
🤣🤣🤣Ungemwambia "fu.ck you"
Ungemwambia "fu.ck you"
Nauza Sabuni Used Mikoani Natuma .Nauza Miswaki used na mikoani natuma