Mkuu Kadendu umeandika BARUA KWA hisia kali sana, ni kweli inauma sana ukiangalia kwanza ni Askari mwenzao, sasa ingekuwa ni raia wa kawaida si ndio imeisha hiyo, kwanza Askari anapoteaje zaidi ya mwaka? RPC wa DODOMA anasemaje? OCD wa DODOMA Mjini je? Kwa nini wapo kimya ni kweli kwamba hawajui alipo? Hivi kwa mfamo apotee RCO DODOMA kutakuwa na ukimya kama Askari huyu wa chini takribani mwaka?