AFADHALI unisaidie
yaaani acha kabisa usipime
farkhina weeee hebu njoo huku ushapendwaaa!
barua ndefu kama hiyo siyo shida sana kuisoma, ila umpende kweli usijemletea mtoto wa watu JANGA SUGU LA WAZAWA.
Haya tusubiri majibu ya bi Faa.
farkhina njoo huku umsikilize mtoto wa mwanamke mwenzio.
Ahhahahahahahahhaha sasa wewe kaka angu mbona hujapokea mahari?
ha ha ha lol farkhina mke wa watu!