Inabidi tu nimpe siri ya uroho wako!
Ahahhahahahha mpe tu kama nala kilo 1 peke yangu lol....
Inabidi tu nimpe siri ya uroho wako!
Kuna siri gani kwenye ukoko wa wali ?
ndugu mwenyekiti wa jukwaa hili ndugu Arushaone naomba kupitia kwako na wajumbe wote kutamka kwamba nampenda sana sana madam farkhina mpaka nakosa raha katika maisha yangu haya ya taabu.
dear farkhina salaam nyingi zikufikie hapo ulipo dhumuni la barua hii ni kukuambia kwamba i love you nakupenda sana sana naomba uwe wangu wa maisha katika taabu na raha sio siri sura yako tabia zako na mwenendo wako humu jamvini vimenivutia sana
lengo la barua hii ndefu ni kukwambia moyo wangu umekuangukia kama embe dodo la uwanjani kwetu ambalo huanguka kwa kishindo kiasi cha kuishtua wote wa mtaani kwetu.
farkhina i love you so much naomba tuwe wote maishani itikia wito wangu unitoe kwenye lindi hili la upweke.
samahani kwa kuwapotezea muda ila matesso nipatayo kwa kumuwaza huyu kiumbe mzuri kama mawanda ya saudari yanifanya kuwachukulia muda wenu kwa kuwaandikia BARUA NDEFU KAMA HII
,,,Aione: Arusha one,,,,,, Erickb52 ... farkhina
Kuna siri gani kwenye ukoko wa wali ?
Inabidi tu nimpe siri ya uroho wako!
Baaada ya kuandika hili gazeti akikukataaa ...!wallah njooo nikupe kitu ya Tanga atakuja kwako hata kwa ungo...! Huo utaalam nina shahada yake
Au ndio nini kuninunulisha swimming costume haujanipeleka tena swimming lol....Muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio...
Kijana kakonda suruali zote hazimtoshi kwa lilia penzi lako lol
farkhina naona yule mganga wako ni noma.
Au ndio nini kuninunulisha swimming costume haujanipeleka tena swimming lol....
Kuna siri gani kwenye ukoko wa wali ?
Muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio...
Kijana kakonda suruali zote hazimtoshi kwa lilia penzi lako lol
Kuna siri gani kwenye ukoko wa wali ?