mzee naomba uzoefu wako nimnase mtoto farkhina
Uninase kwa mtego gani....wanitaka peleka posa kwa kazi zangu Washawasha na donlucchese....ila si hivo hakieleweki....mie sio wa kuchezewa lol
baby hujanipa jibu langu kama yes au no
baby siwezi kukuchezea kamwe abadan bikira yako siwezi igeuza kitenesiUninase kwa mtego gani....wanitaka peleka posa kwa kaka zangu Washawasha na donlucchese....ila si hivo hakieleweki....mie sio wa kuchezewa lol
ha ha ha haaaaaaa hivi eeeh nilikuwa sijui ujue khaaaaa!!!!
mwekundu popote ulipo ripoti makao makuu ya JF CC.......
Uninase kwa mtego gani....wanitaka peleka posa kwa kaka zangu Washawasha na donlucchese....ila si hivo hakieleweki....mie sio wa kuchezewa lol
anasubiri kupeleka posa
kweli hii ndo cc posa kwa makaka?haya wazazi nao wanapokea nini?au ndo kidigital?
Uwiiii mi simooo katika shimo!!!:behindsofa:Weye weye....unantafuta
kwema sana hofu na mashaka ni juu yako.....Ahhahahahahha kwema lakini?
Nani shemeji yako ww?i miss you shem