haya bhanaNani shemeji yako ww?
haya bhana
Haya nini na wewe?haya bhana
He he he :smile-big:NALILIA UZIMA KUPENDWA SI LAZIMA....cc mimi49
si wewe au...........Everything happens for a reason.........mi mgeni pande hizi napita tuNani shemeji yako ww?
msikilize mwenzio basi ana la kusema toka moyoniNawe kumbe umo eeeeh..
hutaki kuwa shemejiHaya nini na wewe?
Huu ushemeji wakubambikizana mi siutambui!!hutaki kuwa shemeji
basi atatambulisha kwa wazaziHuu ushemeji wakubambikizana mi siutambui!!
Huu ushemeji wakubambikizana mi siutambui!!
anamjua na ndo aliyeanzisha threadShemegi yako wa ukweli hasa unamjua...au vp shosti?
anamjua na ndo aliyeanzisha thread
Mi nashabikia harusi,pilau tamu,unakuta nyama laini ila usiwe na pengoSawa naona unamshabikia sana....
Mi nashabikia harusi,pilau tamu,unakuta nyama laini ila usiwe na pengo
sasa we unataka pilau bila harusi?Hahahahahahahaha na pilau unalotaka wewe lazima la harusini?
sasa we unataka pilau bila harusi?
Ndio....
NALILIA UZIMA KUPENDWA SI LAZIMA....cc mimi49
Hahahaha wazazi watahadithiwa tu lol..n