lost Crown prince
Member
- Jun 12, 2015
- 58
- 24
- Thread starter
- #21
Bwana akujalie haja ya moyo wako.
Amen!ubarikiwe mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana akujalie haja ya moyo wako.
Kuwa na mke wako pekee yako ulimwengu waleo ni mtihani mzito na ni siri ya mwenyezimungu kazana duaa umpate huyo umtakae
Ubunifu Mzuri sana huu Hongera Mkuu na Kila la Kheri......Kwa Ubunifu huu Lazima Usumbuliwe huko Pm
noma sana!
Majibu kwa mume wangu mtarajiwaAmen!ubarikiwe mkuu!
Majibu kwa mume wangu mtarajiwa
Salaam sana,
Nafarijika kwa maneno mazuri juu yangu sina la kusema zaidi ya kushukuru sana my prince najua ipo siku tutakutana nina imani hiyo pia ni wazi kwamba nimepitia mengi sana ya kuumiza na kufurahisha pia vivyo kwa upande wako, amini tu kwamba mimi ndio pumziko lako my future husband kwangu mimi hakuna kama wewe mume wangu mtarajiwa....usijali maneno ya watu harakati za ujana zipo hakuna alie mkamilifu zaidi ya muumba pekee yake nasubiri tuonane twende pamoja mbele za Mungu kuomba toba na Rehema ili tuanze maisha yetu ya ndoa katika hali ya utakatifu na utauwa na miili yetu iwe hekalu la Roho mtakatifu.
Mwisho kabisa napenda kukupongeza kwa ujasiri ulionao na uvumilivy pamoja na saburi kwangu.....Nakupenda mume wangu mtarajiwa

nami nimekupm kim nanaNshakupm my Prince
HahahaaaaaThread Closed.
Wakati wewe unaandika maneno matamu ya kuchombeza, kuna mwanaume mwenzio huko anakatikiwa mauno.
Endelea kujipa moyo, si vibaya kulea mtoto wa mwanaume mwenzio.
Kila la kheri mkuu!
nimemis barua ya ivi embu niandikieee afu usasahau yaleee naneno ya ujana.eg ntakupenda mpaka ziwa victoria likauke! Sawa?????
nimemis barua ya ivi embu niandikieee afu usasahau yaleee naneno ya ujana.eg ntakupenda mpaka ziwa victoria likauke! Sawa?????
Hii barua ilijaa na maneno mataamu .
Lakini siku hizi Maneno matamu toka midomoni mwetu yana kua kinyume na mwendo za moyo zetu .
Kupata mpenziye sio hoja ,ugumu kudumisha na kulea uhusiano wa penzi.
Angalia kwa wozap yako??