Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.
Naamini sasa tumeelewana.
Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.
anasumbuliwa na frustrations za mwisho wa mwezi, mshahara kiduchu madeni kibao.Mikela kuna kitu hakiko sawa this week hebu kaa utulie kwanza maana thread zako zote ni za kushangaza sana week hii
Wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.
Naamini sasa tumeelewana.
Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.
Wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.
Naamini sasa tumeelewana.
Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.
Kesi yako unabambikia wengine....pole mkuuu inaonekana kuna mmoja ambae umempania ni lizzy nn
umenikumbusha mbali mdau niliwahi kulala na demu mmoja akaacha chup#, khanga na baadhi ya nguo ili nisiingize demu mwingine mle, alivyorudi mara ya pili akaniuliza nguo zake ziko wapi nikaweka ngazi nikapanda kwenda kuzichukua kwenye uwazi wa dari nilizificha darini kabisa tena nimezitia kwenye rambo kisha ile rambo nikaiweka kwenye box halafu lile box nikalitia ndani ya kiroba alichoka mwenyewe
kumbe hata wengine uwa yanawakuta duh