Barua kwenu Girlfriends

Barua kwenu Girlfriends

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.
Naamini sasa tumeelewana.
Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.
 
pole mkuuu inaonekana kuna mmoja ambae umempania ni lizzy nn
 
Sa c ungewapigia cm 2 kuliko kuwarusha huku jf mkuu?
 
Sidhani kama ujumbe utawafikia walengwa unless wamo humu,na uliyajua hayo b4 kwa nn uliwakaribisha
 
Na wewe uache ulevi wa kupindukia, uache kubadilisha wanawake. sina uhakika kama ujumbe wataupata. wapigie simu, maana kama kweli wapo wasichana wa namna hiyo hawatakuwepo jf.
 
umezidi kuvunja amri za Bwana, na bado watakuchanganya zaidi.
 
Mikela kuna kitu hakiko sawa this week hebu kaa utulie kwanza maana thread zako zote ni za kushangaza sana week hii
 
Wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.
Naamini sasa tumeelewana.
Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.

ehh dear jaman sio fresh ivo ..yaan kusahahu chupio tu ndo umenirusha jf?
popa basi ntamtuma jane aje anichukulie kanga zangu za sandoz zangu

pls usisahahu kumpa na KINASA changu bafun nilikianika:A S-baby:

serious;kaka kwan wik i wamekufanyaje?rhh manake nakuona the whole wik umekaa kumgecha gecha mtu tu...vip bdada kasepa?
 
Mikela kuna kitu hakiko sawa this week hebu kaa utulie kwanza maana thread zako zote ni za kushangaza sana week hii
anasumbuliwa na frustrations za mwisho wa mwezi, mshahara kiduchu madeni kibao.
 
Uwiiiii, utafungwa Mpwa...haya unawaingiza gheto wangapi kwa siku?? Duh, sijui ni supershaft, Viagra au Ndimu na Pilipili na Vitunguu saumu au Ubombo? Maana inaonekana Mzee uko vizuri sana ila nao wamekuweza.....pole sana kuna mmoja hapa ngoja niyamjulisha, ni yule niliyekukuta nae pale na nanihiiiii pale
 
mkuu naona dalili ya wewe kunyemelewa na presha, pole sana mkuu tatizo sijui kama ujumbe utafika
 
Wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.
Naamini sasa tumeelewana.
Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.

kumbe wengine unawapeleka geto mbona mimi siku zote twafanyia ofisini.
 
Wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia mambo ya kujisahaulisha picha zenu na kuchomeka kwenye wallet yangu passport size nikiwa bwiii mkome.
Naamini sasa tumeelewana.
Wasalimie sana maboifrendi wenzangu, maana nyie mna ndoo, kidumu hadi jagi na mabilauri pia.

Tehe tehe tehe
You made my day... Khaaa! Naiman hao ma gal frndz watakuwa wamekupata kama wapo humu jf... Ina mana wanakuachia wewe uzivae au??.. Afu wanaondoka bila chupi?... Na wewe pia yaonekana una kidumu, pipa, ndoo, jagi nk... Wapunguze abaki mmoja, huyo naamin hatakuachia chochote...lol..
 
yaani wewe unawapeleka getto..,!!?nakuhurumia sana.siku wakifumaniana utajuta kuwajua hao warembo.kupeleka demu wa kupita getto ni sawa na kujipalia kaa la moto.usirudie.lakini ndo maisha.mia.
 
umenikumbusha mbali mdau niliwahi kulala na demu mmoja akaacha chup#, khanga na baadhi ya nguo ili nisiingize demu mwingine mle, alivyorudi mara ya pili akaniuliza nguo zake ziko wapi nikaweka ngazi nikapanda kwenda kuzichukua kwenye uwazi wa dari nilizificha darini kabisa tena nimezitia kwenye rambo kisha ile rambo nikaiweka kwenye box halafu lile box nikalitia ndani ya kiroba alichoka mwenyewe

kumbe hata wengine uwa yanawakuta duh
 
ehhh kaka unatishaa....dah km namwona vile bibie wakat anakuangalia unavyopanda ngazi kuchukua izo pamba zake
 
We funzadume ni noumer, nadhani huyo demu hakurudi tena. Teh! Teh! Teh! Ngoja na mimi nitaiaplly hiyo.
 
mtu umemchakachua mara moja tu anataka kuweka kambi ya kudumu. Its past though, i'm a good husband now wink..
 
Back
Top Bottom