Barua nzito: Wema kuna kitu cha kujifunza kwa Zari

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
KWAKO mtoto mzuri, Beutiful Onyinye, Wema Sepetu !'Madam'. Vipi uko poa? Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima namshukuru Mungu, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa maisha yangu.

Kitambo kidogo hatujaonana, nimeona si mbaya kama nitakukumbuka kwa barua maana najua kutokana na majukumu yako na yangu kuwa mengi, wakati mwingine tunaweza tukafikisha hata miezi sita hatujaonana.

Dhumuni la barua hii ni kutaka kukushauri kwamba unaweza kujifunza kitu kutoka kwa mpenzi wa sasa wa aliyekuwa mpenzi wako, Nasibu Abdul !'Diamond, Zarinah Hassan !'Zari!

Naomba usinielewe vibaya. Sina nia ya kukupambanisha wala kutaka kukukejeli kwa namna yoyote. Kuna kitu kidogo tu cha kujifunza kutoka kwa binti huyo wa Kiganda.
Achana na maneno yanayosemwa mtaani, kila mmoja ana upungufu wake lakini binadamu tunashauriwa kuiga yale mazuri kutoka kwa wenzetu.

Iko hivi Wema, wewe na yeye mna nafasi moja nzuri katika jamii. Nyinyi ni maarufu. Mnapendwa na watu kupita maelezo. Mna ushawishi mkubwa sana katika jamii hivyo mnaweza kufanya jambo na likapata mafanikio makubwa sana.
Umaarufu wenu ni biashara. Kwa nini uendelee kubaki chini wakati umezungukwa na fursa kibao? Umaarufu wako ni biashara kama utaamua kuwa !٪serious!& na kila hatua unayoipiga.
Nikwambie ukweli bila unafiki, unapaswa kuiga jambo moja tu la msingi kutoka kwa Zari, kuwekeza na kuheshimu fedha.
‬

Mwenzako anaijua fedha. Anajua namna ya kuitafuta na namna ya kuiwekeza katika maeneo ambayo yatazidi kuzizalisha. Akili yake inawaza pesa na si starehe zisizokuwa na msingi. Mfano mdogo tu ni idea kama ya All White Party aliyofanya Zari kule Uganda. Alifanikiwa, anaendelea kufanya na wiki iliyopita aliifanya pale Mlimani City jijini Dar na kupata mafanikio makubwa.

Kwangu mimi kile ni kitu kikubwa sana ambacho kinaingiza fedha nyingi kwa wakati mmoja. Si vibaya kama utaiga vitu vya namna hiyo. Nisikufiche, nafasi ya umaarufu uliyonayo Kibongobongo, unaweza kufanya zaidi ya shoo ile kama utaamua na kupata watu wazuri wa kufanya nao kazi.

Na unapofanya mambo makubwa kama hayo, lazima pia udhibiti matumizi yako. Starehe zipo lakini wakati mwingine unapaswa kuheshimu fedha. Yale mambo ya kwenda kuzimwaga ukumbini eti kuwa kama kina pedeshee nanii si mazuri.

Jeuri ya fedha ifanye kwa kufungua miradi mikubwa ambayo hata utakapozeeka utainjoi matunda yake. Kuigiza kuna mwisho, huwezi kuwa mwigizaji milele, kuna wakati utatakiwa kuwa msimamizi wa miradi yako tu binafsi na mkono uende kinywani kiulani tu.

Usikubali kushikiwa akili na wapambe, unayoshauriwa na wapambe yachuje maana si yote yanakuwa na manufaa. Tumia kipaji na jina lako vizuri, una nyota ya kupendwa basi kupendwa huko kuwe na faida. Natambua una idea zako ambazo tayari umeanzisha kama kipindi chako cha In My Shoes, usiishie hapo fanya makubwa zaidi.

Kwa leo acha niishie hapo. Ni matumaini umenielewa.
Wasalaam
________________________________________________________________
|MJUMBE HAUAWI| : GLOBALPUBLISHERS: BARUA NZITO WEMA KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KWA ZARI!

Kweli kabisa.. badala ya kususbiri wapambe waendeshe maisha yake. Anatakiwa kutumia umaarufu alionao kama BRAND aya kujiingizia kipato na siyo kusubiri wanaume wamuhonge ili aendesha maisha yake. It is a time now hata sisi washabiki wa hawa mastaa wetu, kuwashauri mambo memo na siyo kuwashabikia tu. Wwenzetu wa Uganda au Kenya hawamshabikii mtu kijinga namna hiyo.
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie
 
Umeongea ukweli kabisa. Na hii hulka ipo mpaka makazini. Chuki zimezidi..
 
Ww unamshauri MWANAMKE akili yake iko kwenye TIGO....!? Au Uchi...!? Yeye anawaza kupulizwa nyuma tu...HIYO ndio BIASHARA KUBWA anayofanya na kuwaza....atakuona mshamba kwa ushauri wako...na yale makalio amwachie nani.. !??
 
na we akili yako iko wapi??????????
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie

N a support kubwa ni kwasababu yuko na Daimond
ndio maana hata watu tulijazana kama kumbi kumbi
 
Ww unamshauri MWANAMKE akili yake iko kwenye TIGO....!? Au Uchi...!? Yeye anawaza kupulizwa nyuma tu...HIYO ndio BIASHARA KUBWA anayofanya na kuwaza....atakuona mshamba kwa ushauri wako...na yale makalio amwachie nani.. !??

Ila kwa ustaa mkbwa km wema angeanzisha biashara yk angepata mnooo...angefungua duka ht la nguo/viatu/vipodozi km kina robbyone na kina director joan au
Restaurant au ht saloon angemake money htr
Some people hawajui kutumia opportunities zao...pia huenda amekosa washauri wazuri au labda kaweka pamba masikioni
 
Wema hana nafasi nzuri katika jamii hasa ya kukaa na kutegemea kuishi kwa kuchuma pesa za waume za watu na kuwaongelea kwenye TV akitukana wenzake wanaowala waume hao wa watu. Mungu aniepushie wanangu hata wasimjue sio mfano kabisa...na pia anategemea watu na kufanya anayofanya hata kujinunulia pipi anaambiwa. Huyo big no sio mfano mzuri

Na hata kudanganya na kuhonga waandishi wa habari watukane Diamond na his wife hiyo nayo ki ujinga.

Alicha bwana basi atulie sio copy copy wakati yeye hana alichofanya miaka yote hii vja kujivunia. Kampuni ji ya chumbani.

Tabia yake mbovu abadilike au atazidi kuwa katuni kwa watu. Amejishusha nami namshusha.
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie

Wema anaweza kufanya hata kesho uwanja ni wake sio lazima amtegemee Diamond, alisema D anamuibia nyota so nyota yake itavuta watu kama anayo. Kwa sasa na vituko vyake hana.
 
Zari pati za white party kaanza zamani Uganda anafanya kila mwaka. Na za aina zingine plus anabiashara na anashare kwenye shule alizoanzisha na ex wake etc
 
Umenena mkuu,

tatizo wema hana akili za kujiendeleza akitaka lazima aombe ushauri na kusimamiwa yeye hawezi sababu hana hizo akili. ndio maana ni mwepesi kusikiliza wale wengi wao wenye akili za udaku tu na maisha ya kutojali na wao wapo wamejificha nyuma yake.
 
zari ile machine inspiga kazi tu haina mambo ya kiki sijui kuhongwa, Zari ni miss independent but wema yupo dependant anategemea mno vya kupewa , by the way we are who we are, tabia hujenga mazoea, its to late to change wema, zari ni boss a.k.a built of self struggle
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie

hivi vitu hawaandai tu vinatokea na sina uhakika kama wema angefanya utafiti wa price mix, promotion mix, place mix and product mix
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie

Hamna lolote, wema mwenyewe tu akili hana, mbona diamond anapewa support kubwa tu na watanzania kwani yule Mkenya? Kuhusu maneno yapo tu ata ufanyaje, zari mwenyew anatukanwa kutwa kwan yeye anajal? Si anatengeneza pesa zake kama juzi mliman, wema hana akil tu basi wal msitafute sababu nyingine
 
Fact!!
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie

Wema akianzisha party hakuna mtu mwenye akili zake anayaweza kwenda,. Kwa nn? Image yake aliyojijengea kwa wananchi basi! Zari hakupata support sababu yeye ni wa nje, kuna sababu kuu mbili zilizomfanya apate support.

1. Ni Diamond, watu wengi walienda sababu ya nguvu ya Diamond.. Kumpa support Diamond na mahusiano mazuri aliyonayo Diamond na watu kiasi wanamwona kama mtu wao kuanzia media, wadhamini mpaka wananchi. Zari angekuja kabla ya mahusiano na Dai sidhani kama angepata ata robo ya wale watu.

2.Zari mwenyewe ana image nzuri sana kwa watanzania, Zari anaskendo nyingi ila amefanikiwa kujiweka classic fulani hicho kitu kinambeba sana, the way mtu ata mtreat Wema ni tofauti na jinsi mtu ata mtreat Zari. Wema ni staa anayeonekana wa hovyo hovyo.

Mtu anayekesha na kina Petit kwenye mabaa anakunyww mpaka watu wanambeba, mtu anayemwaga hela hadharani, ukienda maisha club unamkuta, club zote mpk mango garden unamkuta, utamfananushaje na Zari? Zari anakuja kila leo dsm ushamkuta uswaz anakata mauno kama Wema? Au ushamuona Dai aliyekuwa bwanake kwenye bar yoyote mjini hapa?

Msipende kulaumu watanzania, watanzania ni watu wazuri sana ila sio wajinga wanajua kizuri na kibaya. Leo hii Lady Jaydee anaweza kufanya party yake mcity na ikajaa nna uhakika huo, ebu jiulize kwa nini!? Image. Na image haijengwi siku moja.

Klyn alikuwa na skendo ila kaolewa na Mengi, hivi Wema anaweza kuolewa na mtu aina ya Mengi?.. Awa wajinga wa Bongo muvi msiwatetee wanataka wenyewe kupewa thamani wanayopewa. Sijui lulu wolper kajala aunt wataishia hivyo hivyo ila final uzeeni.
 
Wema anawaza kuchuna wanaume tuuuuu....hamna kingine
 
Wabongo ndo zenu kusifia vya nje na kuponda vyenu, zari na wema wote walewale wavua chupi na kutegemea hela za kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…