Barua nzito: Wema kuna kitu cha kujifunza kwa Zari

Barua nzito: Wema kuna kitu cha kujifunza kwa Zari

Wema hana nafasi nzuri katika jamii hasa ya kukaa na kutegemea kuishi kwa kuchuma pesa za waume za watu na kuwaongelea kwenye TV akitukana wenzake wanaowala waume hao wa watu. Mungu aniepushie wanangu hata wasimjue sio mfano kabisa...na pia anategemea watu na kufanya anayofanya hata kujinunulia pipi anaambiwa. Huyo big no sio mfano mzuri

Na hata kudanganya na kuhonga waandishi wa habari watukane Diamond na his wife hiyo nayo ki ujinga.

Alicha bwana basi atulie sio copy copy wakati yeye hana alichofanya miaka yote hii vja kujivunia. Kampuni ji ya chumbani.

Tabia yake mbovu abadilike au atazidi kuwa katuni kwa watu. Amejishusha nami namshusha.

Wew ulitorokaga mirembe na kila siku nakuambia.....
Sasa apo ndo umeandika nini... kuandika kwenyewe hujui "eti wema hana nafasi nzuri katika jamii hasa kwa kukaa kutegemea kuchuna pesa za wanaume" sasa ndo nini hichi umeandika.....
Binti badilika acha roho ya kutu roho ya korosho wivu tuu umekujaa na sio kingine.....
Na kama wema asingekuw na nafasi katika jamii kila siku habari zake zisingekuwa humu upo?
Ukitaka kuamini kajiuze ww kw wanaume wa watu uone kama utaandikwa humu.....Fungua akili acha kuwaza ujinga
 
Bby..nlijua hutafika huku

Sipendi umseme Wema au mtu yoyote yule kama ana baya mshauri na sii kumhukumu.. kila binadamu ana mapungufu yake ata wew unayo sema tuu wew sio celebrity.
 
Yaan watu huku wana wivu kama wake wenza..... kama vipi mkajipambanishe nyie na Zari kama mnaona vyie ni viwembe kuliko Wema...
Riziki ya mtu huwezi kuilalia mlango wazi eti kwakua Zari kafanya ivi na Wema afanye ivyo kila mtu na mipango yake....
Kwani alishalia kukusa hela ya kula? Zimemtosha mwacheni na kama ni kugawa papuchi kila mtu ana yake na hamna mtu anayempangia mtu matumizi ya papuchi yake.....mbona wengi tuu wanatoa papuzi kwa ajili ya luch tuu cha ajabu kwa Wema ni nini??? Haya ndo majanga yetu sisi binadamu....apo Daimond akitoka na mwanamke mwingine afanye mabadiliko kidogo mtaanza kurudisha mashambulizi kwa Zari..
Chuki hazijengi mjini mipango kila mtu anajua anafanya nini
 
wema hajui thamani yake kwa watanzania. wema anapendwa na wengi sana angetumia nafasi hiyo kibiashara nina hakika akina didah wangesubiri sana.
ila ndio hivyo tena. tusubiri labda atakuja kuzinduka huko mbele.
kwa kufata ushauri wa team wema akina dogie hawezi kutoka na atazidi kudharaulika
 
taratibu bibie...utapata kisukari bure..hebu shusha jazba kwanza
 
Kila mtu anakipaji chake alojaaliwa,Wema kajaliwa Vituko,starehe,kutoka kwenye gazeti,kuchukua waume za watu hapo ndio mwisho wa kipaji chake,hawezi kutumia akili yake hata siku moja,wala kutaka kuona flani ananini na mimi nifanye nini no
yeye ni In My Shoe hana lamana hata moja, namuone sana huruma...
 
Wema akianzisha party hakuna mtu mwenye akili zake anayaweza kwenda,. Kwa nn? Image yake aliyojijengea kwa wananchi basi! Zari hakupata support sababu yeye ni wa nje, kuna sababu kuu mbili zilizomfanya apate support.

1. Ni Diamond, watu wengi walienda sababu ya nguvu ya Diamond.. Kumpa support Diamond na mahusiano mazuri aliyonayo Diamond na watu kiasi wanamwona kama mtu wao kuanzia media, wadhamini mpaka wananchi. Zari angekuja kabla ya mahusiano na Dai sidhani kama angepata ata robo ya wale watu.

2.Zari mwenyewe ana image nzuri sana kwa watanzania, Zari anaskendo nyingi ila amefanikiwa kujiweka classic fulani hicho kitu kinambeba sana, the way mtu ata mtreat Wema ni tofauti na jinsi mtu ata mtreat Zari. Wema ni staa anayeonekana wa hovyo hovyo.

Mtu anayekesha na kina Petit kwenye mabaa anakunyww mpaka watu wanambeba, mtu anayemwaga hela hadharani, ukienda maisha club unamkuta, club zote mpk mango garden unamkuta, utamfananushaje na Zari? Zari anakuja kila leo dsm ushamkuta uswaz anakata mauno kama Wema? Au ushamuona Dai aliyekuwa bwanake kwenye bar yoyote mjini hapa?

Msipende kulaumu watanzania, watanzania ni watu wazuri sana ila sio wajinga wanajua kizuri na kibaya. Leo hii Lady Jaydee anaweza kufanya party yake mcity na ikajaa nna uhakika huo, ebu jiulize kwa nini!? Image. Na image haijengwi siku moja.

Klyn alikuwa na skendo ila kaolewa na Mengi, hivi Wema anaweza kuolewa na mtu aina ya Mengi?.. Awa wajinga wa Bongo muvi msiwatetee wanataka wenyewe kupewa thamani wanayopewa. Sijui lulu wolper kajala aunt wataishia hivyo hivyo ila final uzeeni.
Kaka umewafafanulia vizuri sana na kama hawajaelewa basi hawaelewi tena
 
Kila mtu anakipaji chake alojaaliwa,Wema kajaliwa Vituko,starehe,kutoka kwenye gazeti,kuchukua waume za watu hapo ndio mwisho wa kipaji chake,hawezi kutumia akili yake hata siku moja,wala kutaka kuona flani ananini na mimi nifanye nini no
yeye ni In My Shoe hana lamana hata moja, namuone sana huruma...

Kwahyooo unahisi hawezi kubadilika au unapayuka
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie

Ndo maana hatuendelei kwa sabab tnaskiliza maneno ya watu
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie

Inategemea umeletaje hiyo biashara yako. ..
 
Zari atasaidia wadada wengi wa Bongo
Kufikiri tofauti katika maisha yao.
 
hongera kwa kupoteza muda wako kumpigia mbuzi gitaa.
 
wema hajui thamani yake kwa watanzania. wema anapendwa na wengi sana angetumia nafasi hiyo kibiashara nina hakika akina didah wangesubiri sana.
ila ndio hivyo tena. tusubiri labda atakuja kuzinduka huko mbele.
kwa kufata ushauri wa team wema akina dogie hawezi kutoka na atazidi kudharaulika

Wema anapendwa na WATANZANIA wa wapi?
Unafki tu.
 
Wema anapendwa na WATANZANIA wa wapi?
Unafki tu.

Watu wanampenda wema tena wengi tu. Angefungua duka hata la pichu ndo ungeona watu watavyojazana ilimradi wamuone.
Na hapo ndo anapotengeneza faida.
 
Watu wanampenda wema tena wengi tu. Angefungua duka hata la pichu ndo ungeona watu watavyojazana ilimradi wamuone.
Na hapo ndo anapotengeneza faida.

Kumpenda wema inabidi uwe kichaa au uwe tabia ka zake.
 
Back
Top Bottom