Barua nzito: Wema kuna kitu cha kujifunza kwa Zari

Barua nzito: Wema kuna kitu cha kujifunza kwa Zari

Wema fanyia kazi hiyo barua inaujumbe mzuri sana si kwako tu hata mastaa wenzako pia,bravo.
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie
Hilo ndio tatizi linafanya wa TZ tusisonge mbele! Kwa nini unaanza kujikatisha tamaa,kufikiria vitu ambavyo havipo!.
Umeongea ukweli kabisa. Na hii hulka ipo mpaka makazini. Chuki zimezidi..
 
Zari atasaidia wadada wengi wa Bongo
Kufikiri tofauti katika maisha yao.

Kutufundisha nini?kuwa na mtu for benefit? Au kumzalia kila mtu mwenye uhitaji? Au nini sasa? Au kutembea na watoto aliowazidi umri?
Tofauti na hivyo sioni vingine vya kusaidia watu....hahahaaa utanisamehe mkuu ila ukweli ndo huo
Zari hana tofauti na wema kabisa tofauti ni kwamba yy ana watoto madam hana watoto
 
Kumpenda wema inabidi uwe kichaa au uwe tabia ka zake.

Kama ilivyo kumpenda Zari lazma uwe ni suger mamy unaorubuni watoto na kama ni wa kiume lazma uwe una uhitaji wa kuzaliwa mtoto mbali na hapo hamna cha maana kwake
 
Kutufundisha nini?kuwa na mtu for benefit? Au kumzalia kila mtu mwenye uhitaji? Au nini sasa? Au kutembea na watoto aliowazidi umri?
Tofauti na hivyo sioni vingine vya kusaidia watu....hahahaaa utanisamehe mkuu ila ukweli ndo huo
Zari hana tofauti na wema kabisa tofauti ni kwamba yy ana watoto madam hana watoto
haya; hakuna taabu
 
Back
Top Bottom