Barua nzito: Wema kuna kitu cha kujifunza kwa Zari


Wew ulitorokaga mirembe na kila siku nakuambia.....
Sasa apo ndo umeandika nini... kuandika kwenyewe hujui "eti wema hana nafasi nzuri katika jamii hasa kwa kukaa kutegemea kuchuna pesa za wanaume" sasa ndo nini hichi umeandika.....
Binti badilika acha roho ya kutu roho ya korosho wivu tuu umekujaa na sio kingine.....
Na kama wema asingekuw na nafasi katika jamii kila siku habari zake zisingekuwa humu upo?
Ukitaka kuamini kajiuze ww kw wanaume wa watu uone kama utaandikwa humu.....Fungua akili acha kuwaza ujinga
 
Bby..nlijua hutafika huku

Sipendi umseme Wema au mtu yoyote yule kama ana baya mshauri na sii kumhukumu.. kila binadamu ana mapungufu yake ata wew unayo sema tuu wew sio celebrity.
 
Yaan watu huku wana wivu kama wake wenza..... kama vipi mkajipambanishe nyie na Zari kama mnaona vyie ni viwembe kuliko Wema...
Riziki ya mtu huwezi kuilalia mlango wazi eti kwakua Zari kafanya ivi na Wema afanye ivyo kila mtu na mipango yake....
Kwani alishalia kukusa hela ya kula? Zimemtosha mwacheni na kama ni kugawa papuchi kila mtu ana yake na hamna mtu anayempangia mtu matumizi ya papuchi yake.....mbona wengi tuu wanatoa papuzi kwa ajili ya luch tuu cha ajabu kwa Wema ni nini??? Haya ndo majanga yetu sisi binadamu....apo Daimond akitoka na mwanamke mwingine afanye mabadiliko kidogo mtaanza kurudisha mashambulizi kwa Zari..
Chuki hazijengi mjini mipango kila mtu anajua anafanya nini
 
wema hajui thamani yake kwa watanzania. wema anapendwa na wengi sana angetumia nafasi hiyo kibiashara nina hakika akina didah wangesubiri sana.
ila ndio hivyo tena. tusubiri labda atakuja kuzinduka huko mbele.
kwa kufata ushauri wa team wema akina dogie hawezi kutoka na atazidi kudharaulika
 
taratibu bibie...utapata kisukari bure..hebu shusha jazba kwanza
 
Kila mtu anakipaji chake alojaaliwa,Wema kajaliwa Vituko,starehe,kutoka kwenye gazeti,kuchukua waume za watu hapo ndio mwisho wa kipaji chake,hawezi kutumia akili yake hata siku moja,wala kutaka kuona flani ananini na mimi nifanye nini no
yeye ni In My Shoe hana lamana hata moja, namuone sana huruma...
 
Kaka umewafafanulia vizuri sana na kama hawajaelewa basi hawaelewi tena
 

Kwahyooo unahisi hawezi kubadilika au unapayuka
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie



Ndo maana hatuendelei kwa sabab tnaskiliza maneno ya watu
 
Tuacheni utani ingetokea wema aanzishe party kama hiyo ya zari angesemwa maneno yote machafu ila zari kwa kuwa ni wa nje ndio maana kapata support aliyoipata tatizo sie wabongo hatupendi na hakuna mtu anafurahia maisha ya mwenzie

Inategemea umeletaje hiyo biashara yako. ..
 
Zari atasaidia wadada wengi wa Bongo
Kufikiri tofauti katika maisha yao.
 
hongera kwa kupoteza muda wako kumpigia mbuzi gitaa.
 

Wema anapendwa na WATANZANIA wa wapi?
Unafki tu.
 
Wema anapendwa na WATANZANIA wa wapi?
Unafki tu.

Watu wanampenda wema tena wengi tu. Angefungua duka hata la pichu ndo ungeona watu watavyojazana ilimradi wamuone.
Na hapo ndo anapotengeneza faida.
 
Watu wanampenda wema tena wengi tu. Angefungua duka hata la pichu ndo ungeona watu watavyojazana ilimradi wamuone.
Na hapo ndo anapotengeneza faida.

Kumpenda wema inabidi uwe kichaa au uwe tabia ka zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…