Barua ya 50 kwa ulimwengu kupotea kwa maisha ni njia nyingine ya kufa

Barua ya 50 kwa ulimwengu kupotea kwa maisha ni njia nyingine ya kufa

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Unahitaji nini katika maisha yako? umefahamu ni nini unapaswa kufahamu ili upate unacho kihitaji? umefahamu jinsi ya kufanya katika unacho kifahamu?. Ni muhimu sana ujue nini uhitaji, kufahamu unacho kihitaji kwa mapana yake na kufanya kwa vitendo kwasababu maisha yana upepo kila pande,upepo ambao una uwezo mkubwa wa kuua ndoto zako

Kesho isiyo na maana ni njia iliyo ua, ndoto za watu wengi kwakua ilijitengeneza yenyewe katika turubai la kesho na huwafanya binadamu kuwa wa jenzi wa kesho ya uongo.

Maisha yanategemea mazoezi yako ya vitendo na Ubunifu wako katika sehemu uliyo chagua kuitumikia , ukiwa huna mazoezi ya vitendo na Ubunifu ni umejiandaa kufa katika maisha,hofu,woga na wasiwasi imechukua uhai wa kuishi wa wengi huku wakiwa hai

Bila ubora wa utendaji katika maisha unayaandalia maisha katika kuishi kufa,na ubora wa utendaji unapatikana katika mazoezi kila wakati kwani kiasili maisha hujikosoa kwa kubadilika kila wakati,kama huta hitaji kubadilika kuna namna mabadiliko yata kubadilisha

Tunahitaji kufanya mazoezi sana katika kile tunacho hitaji ili kufikia ubora wa tunacho hitaji, mazoezi huhitaji nidhamu, bila nidhamu hatuwezi fika katika maono ya tunacho hitaji , unahitaji mazoezi ya kuufanya ubongo wako kuwa hai ili usipotee katika maisha

Usiyaweke matamanio binafsi katika kukutafutia njia fupi,utapotea kwaye na kujikuta katika dhoruba ambazo hazitokuacha uwe hai.

Usifanye kwa kusubiri muda sahihi ,usifanye pasi kuwa na sehemu ya kujifunza unahitaji kuhakikisha kuwa utakuwa hai katika kuishi hustahili kupotea katika maisha```

KARIBU KATIKA "THE STOIC COMMUNITY "

KATIKA GROUP HILI TUNACHAMBUA VITABU VYA FALSAFA NA UKUAJI BINAFSI

TUNASOMA MAKALA MBALI MBALI ZA WANAFALSAFA

TUNA SOMA BARUA 365 KWA ULIMWENGU

HIVI SASA TUNAFANYA UCHAMBUZI WA KITABU CHA " DISCIPLINE IS THE DESTINY " TUPO SEHEMU YA PILI SURA YA 31

NA KUONESHA KUPITIA NIDHAMU TATU ZA USTOA

1. NIDHAMU YA TAMAA

2. NIDHAMU YA VITENDO

3. NIDHAMU YA UIDHINISHAJI

UKIHITAJI KUWEPO NDANI YA JAMII HIYO NICHEK WHATSAPP 0658 572532

N.B KUWEPO NDANI YA GROUP HILI KUNA GHARAMA KILA MWEZI UTALIPIA TSH 1000/=
 
"Stoic ni nini" inaweza kufasiriwa kwa Kiswahili kama "stoic ni nini." Stoic ni falsafa ya kale inayotokana na wanafalsafa kama vile Zeno wa Citium, Epictetus, na Marcus Aurelius. Falsafa hii inasisitiza kujizuia, kuvumilia, na kufuata maadili kwa kutumia busara. Stoics wanafundisha kuwa maisha ya furaha na amani ya ndani yanaweza kufikiwa kwa kukubali mambo ambayo hayawezi kubadilishwa, kudhibiti hisia zako, na kuishi kwa mujibu wa maadili na busara.

Kwa kifupi, stoic ni mtazamo wa maisha unaozingatia kujizuia, kuvumilia changamoto, na kuishi kwa maadili.
 
Back
Top Bottom